Nini tofauti kati ya Atomic Bomb na Nuclear Bomb

kimanuamanua

Member
Sep 25, 2013
80
15
Ningependa kujua tofauti kati ya Nuclear Bomb na Atomic Bomb.
Na lipi lenye madhara makubwa ukilinganisha na jingine
Lililo angushwa HIROSHIMA ni Atomic au Nuclear Bomb

Nawasilisha
 
Nuclear bomb simply results into release of Very big amount of RADIATION ENERGY(because it consists of radioactive materials)

Atomic Bomb- Features Big Explosion due to the atoms split into smaller atoms, releasing a tremendous amount of energy. Only about 3% of the fissionable mass gets converted to energy.
 
When you say Nuke bombs consists of radioactive materials, do you mean to tell the Atomic bomb does not have radioactive material in its core?
 
Ningependa kujua tofauti kati ya Nuclear Bomb na Atomic Bomb.
Na lipi lenye madhara makubwa ukilinganisha na jingine
Lililo angushwa HIROSHIMA ni Atomic au Nuclear Bomb

Nawasilisha

The truth is to my opinion, there is no difference between the two. An atomic bomb is a Nuclear bomb meaning it relies on the nuclear reactions in its atom to release its devastating energy. But also a Nuclear bomb is an atomic bomb as well. (Ni kama yale maneno mawili in english "COMPLETE" and "FINISH", same thing). Having said that, bomb dropped in hiroshima was Nuclear and was Atomic. Both statements are correct
 
What is Atom? What is neclear?

at·om - /ˈatəm/
Noun:
1. The basic unit of a chemical element
2. Such particles as a source of nuclear energy

nu·cle·ar - /ˈn(y)o͞oklēər/
Adjective:
1. Of or relating to the nucleus of an atom
2. Denoting, relating to, or powered by the energy
released in nuclear fission or fusion

Definition for atomic bomb:
Web definitions:
1. atom bomb: a nuclear weapon in which enormous
energy is released by nuclear fission (splitting the
nuclei of a heavy elements)

Definition for nuclear bomb:
Web definitions:
1. A nuclear weapon is an explosive device that
derives its destructive force from nuclear reactions,
either fission or fussion.
 
Bt thre is difference btn complete and finsh. U can finish while not complete
Trust me,whether you Finish completely or you Completely finish in the end they both mean same thing. Na sio mimi ninaesema haya bro, hakuna dictionary iliyoweza kuelezea clear deference between these two. Na best difference imetolewa juzi juzi tu na high linguists in London a guy called Samsundar something(google him if ur interested), alielezea tofauti za haya maneno kwa mfano mmoja. I quote "When you marry the right woman, you are COMPLETE. But, when you marry the wrong woman, you are FINISHED" Mpaka leo hii ndo best difference ever given, kama waingereza(English men) wamechemka in English jua kuna joto hapo
 
Mi si dhani kama kuna tofauti ila ni majina tu, kilichopo ni Nuclear weapon na ndo ilidondoshwa huko Kapan
 
Mi si dhani kama kuna tofauti ila ni majina tu, kilichopo ni Nuclear weapon na ndo ilidondoshwa huko Japani
 
Duh hizi posts zinanichanganya kabisa, Mimi nilikuwa ninataarifa kwamba nuclear bomb is more destructive than atomic bomb,nuclear bomb is newer or latest war science compared to atomic bomb, bomb lililotumika Hiroshima ni atomic bomb sio nuclear bomb, pia nuclear bomb bado halijatumika kwenye vita ila nuclear related power stations zime leak au ku emit mionzi accidentally katika nchi fulani kama Ujerumani na Japan, pia kuna sauti na mitikisiko ya ajabu duniani hasa baharini imewahi tokea inasemekana kuna nchi kama Marekani na Urusi zilikuwa zinatest nuclear bombs
Ningependa kujua tofauti kati ya Nuclear Bomb na Atomic Bomb.
Na lipi lenye madhara makubwa ukilinganisha na jingine
Lililo angushwa HIROSHIMA ni Atomic au Nuclear Bomb

Nawasilisha
 
Ngoja nijikumbushe A Level Physics kidogo...

Mkuu ni hivi kwa utangulizi, Bomu la Atomiki ni moja ya aina ya bomu la Nyuklia.

Kuna aina kuu mbili za Mabomu ya Nyuklia na utofauti huo utofautina kutegemeana ni aina gani ya 'chemical reaction' inayotokea.

1. Aina ya kwanza ni mabomu ya Nyuklia ambayo hutegemea 'Nuclear Fission/atomic fission' na hapa ndio tunapata Bomu la Atomiki 'Atomic bomb'.(Atomic fission inamaanisha kujaribu kuigawanya atomu).

Nishati itokanayo na utengano wa atomu ya elementi kama Uranium au Plutonium ndiyo hutengeneza mlipuko. (Asilimia kubwa ya Atomic bombs hutengenezwa na elementi hizo mbili)

Kwa lugha nyepesi unapotaka kuvunja aina yoyote ya 'chemical bond', huwa kuna mbadiliko wa ghafla wa kinishati ambao hupelekea 'energy emission' ambayo yaweza kuwa ni nishati ya mwanga, sauti au joto.

2. Aina ya pili ya bomu la Kinyuklia hutengenezwa kwa kutumia 'chain reaction' iitwayo 'Nuclear fusion' au 'Atomic Fusion'. Mfano wa aina hii ya bomu ni ile itengenezwayo kwa Haidrojeni na hujulikana kama Bomu la Haidrojeni 'Hydrogen bomb'.

Jua ni mfano mmojawapo unaotumia aina hii ya chain reaction na reaction hii huwa ni ya mfululizo, kwani kiasi cha joto kinachozalishwa hutumika kama kichocheo cha kuendeleza reaction.

Kwa kawaida Atomic fusion huwa inahitaji nishati joto kubwa sana, hivyo mabomu mengi ya haidrojeni huambatanishwa na bomu la atomiki ambalo hutumika kama trigger.

Hitimisho:
Kila bomu la atomiki ni bomu la kinyuklia, lakini sio kila bomu la kinyuklia ni bomu la atomiki.
 
Mkuu nimeupenda ufafanuzi wako inaonekana kama ni hesabu nuclear bomb ni set na atomic bomb ni sub set.

Correction, 'Chemical reaction' involves the transfer of electrons. Nuclear bombs never relay on 'Chemical reactions' but rather relay on 'Nuclear reactions'. After a little research i saw there is a very fine line that separates these two terms( A-Bombs and Nuclear bombs), and it is as you said. FISSION Bombs=Nuclear but also Atomic. But FUSSION Bombs=NUCLEAR but not atomic. Which means i was correct saying Hiroshima Bomb was both Atomic and Nuclear. Again this means modern bombs are nuclear but aren't Atomic, since most modern nuclear bombs are H-Bombs. I think i got it now! :)
 
Back
Top Bottom