Nini Tatizo ya magari aina ya Opa

Unachokiona hapa ni harakati za makusudi za kuhakikisha JamiiForums.com unakuwa mtandao husiyo na hadhi ya kuibua hoja za kujenga na kuimarisha uelewa na maendeleo ya watanzania kabla ya 2015.

Toa mchango wa sio kulalamika,kama unaona amekosea si unamripoti
 
mkuu mm nakupa ushauri kama fundi hiyo gari sio nzuri kibongo bongo ni pasua sana kama litakuwa na engine ya D4 lakini kama itakuwa na engine ya vvti haina shida mkuu maswala ya mwonekano na umbile lake ww mwenyewe unaufaham.

spea zingine kwa bongo hazisumbua kabisaaaa sababu zipo tele.

ila kama itakuwa na engine ya D4 plz mkuu usiguse kabisa lasivyo ukinunua ujiandae kubadilisha engine.
engine za D4 kibongo bongo ni pasua sababu tatizo lake kubwa ni miss ya mafuta aina hii ya engine huwa inakuwa na tatizo kubwa kwenye mfumo wa mafuta na hasa nozeli sababu hazitaki mafuta ya kuchakachua yanaziharibu kwea kujenga uchafu ndani pamoja na kuiharibu pump ya D4 hivyo kutwa utashinda gereji na asilimia 99 ya magali yanayopatikana bongo yaliyokuja na engine ya D4 watu washabadili engine hizo.

sasa ni bola unaponunua angalia kabisaa usiingie mkenge ndugu au kama ushanunua jiandae kubadili engine sababu zikianza kusumbua hakunaga tiba ni miss kwa kwenda mbele.
ila kama utapata opa yenye engine ambayo sio D4 ni poa sana.

nakutakia uchaguzi mwema na ukinunua D4 mafundi tupo mkuu tutakusaidia kuzipunguza pesa zako sio kukutengenezea gari .

Hapa ndio mnaponishangaza mafundi wa kibongo!! Hivi kwa nini huwa hampendi kukubaliana na challenges zinazotikana na kubadilika kwa technology? Hivi mnafahamu watu wengi wanaishia kununua magari chakavu kwa kufata ushauri kama wako ambao kimsingi umejaa woga wa mabadiliko ya technilogy?

Zilipoingia Efi mliwaambia watu kuwa Carburetor model zilikuwa imara , na kweli watu walikuwa wanatoa engine za Efi na kupachika carburetor, leo hii Japani ameamua kurefine Efi na kuleta D4, same old story watu wanaambiwa kuwa Eti Efi ni bora !! ,
Auto wakati zinaingia watu waliaminishwa kuwa manual transimittion ni imara. , leo hii lori ya tani 50 ni auto na inakwenda safari ndefu bila tatizo!!!.
ukweli mchungu ni kuwa Efi days are numbered na zitapotea kama zilivyopotea carburetor models , jamaa wanapoinvent technology huwa hawarudi nyuma.
Mengi ya hayo magari yenye D4 ukikuta showroom yametembea mpaka kilometa 200000 , hivi una maana gani kusema hayadumu ,
Nilitegemea mkiona technology mpya imeingia mjifunze na kuelewa badala ya kuibeza .
Mwenye masikio na asikie!!!
 
zipo za D4 na 3S ambayo ni injini sawa na rav4 old model

Mkuu D4 ni injection tech , ndio latest kwa sasa kwa magari ya TOYOTA ikiboreshwa kutoka Electronic fuel injection ( Efi) ambayo nayo iliboreshwa kutoka carburetor, tofauti ya D4 injection mafuta yanaingia katika combustion chamber moja kwa moja bila kuchanganywa na hewa , yaani hayapitii kwenye inlet valve. Ndo maana tunaambiwa technology hii ni more efficient na economy ukilinganisha na efi au carburetor.
Kwa kuwa kinachobadilka mara nyingi ni injection system , engine zimekuwa hazibadiliki, mfano 3s iko ya carburetor , 3s fe( efi) na latest ni 3s d4. Watu wengi wakitajiwa d4 wanaaminishwa na mafundi kuwa ni kitu tofauti sana ,
 
... niko kwenye harakati za kuagiza RAV4 old model...! wadau msaada tafadhari...!

Andika namba yako ya M PES, Tigo pesa na hakatwi mtu hapa mkuu tuanze kukuchangia maana tumechoka kuchangia harusi za majitu bora tuchangie maendeleo.
 
Hapa ndio mnaponishangaza mafundi wa kibongo!! Hivi kwa nini huwa hampendi kukubaliana na challenges zinazotikana na kubadilika kwa technology? Hivi mnafahamu watu wengi wanaishia kununua magari chakavu kwa kufata ushauri kama wako ambao kimsingi umejaa woga wa mabadiliko ya technilogy?

Zilipoingia Efi mliwaambia watu kuwa Carburetor model zilikuwa imara , na kweli watu walikuwa wanatoa engine za Efi na kupachika carburetor, leo hii Japani ameamua kurefine Efi na kuleta D4, same old story watu wanaambiwa kuwa Eti Efi ni bora !! ,
Auto wakati zinaingia watu waliaminishwa kuwa manual transimittion ni imara. , leo hii lori ya tani 50 ni auto na inakwenda safari ndefu bila tatizo!!!.
ukweli mchungu ni kuwa Efi days are numbered na zitapotea kama zilivyopotea carburetor models , jamaa wanapoinvent technology huwa hawarudi nyuma.
Mengi ya hayo magari yenye D4 ukikuta showroom yametembea mpaka kilometa 200000 , hivi una maana gani kusema hayadumu ,
Nilitegemea mkiona technology mpya imeingia mjifunze na kuelewa badala ya kuibeza .
Mwenye masikio na asikie!!!

hapo umeongea mkuu, wao kwa kuwa hawajui kutengeneza wanadai D4 mbovu. Tangu lini mbongo akamfundisha mjapani?
 
Hapa ndio mnaponishangaza mafundi wa kibongo!! Hivi kwa nini huwa hampendi kukubaliana na challenges zinazotikana na kubadilika kwa technology? Hivi mnafahamu watu wengi wanaishia kununua magari chakavu kwa kufata ushauri kama wako ambao kimsingi umejaa woga wa mabadiliko ya technilogy?

Zilipoingia Efi mliwaambia watu kuwa Carburetor model zilikuwa imara , na kweli watu walikuwa wanatoa engine za Efi na kupachika carburetor, leo hii Japani ameamua kurefine Efi na kuleta D4, same old story watu wanaambiwa kuwa Eti Efi ni bora !! ,
Auto wakati zinaingia watu waliaminishwa kuwa manual transimittion ni imara. , leo hii lori ya tani 50 ni auto na inakwenda safari ndefu bila tatizo!!!.
ukweli mchungu ni kuwa Efi days are numbered na zitapotea kama zilivyopotea carburetor models , jamaa wanapoinvent technology huwa hawarudi nyuma.
Mengi ya hayo magari yenye D4 ukikuta showroom yametembea mpaka kilometa 200000 , hivi una maana gani kusema hayadumu ,
Nilitegemea mkiona technology mpya imeingia mjifunze na kuelewa badala ya kuibeza .
Mwenye masikio na asikie!!!

mkuu upo sahihi kabisa naungana na ww kuwa hakuna kitu kibovu but kama utakuwa ni fundi au unautaalam kidogo na mambo haya ya magari kwa mbali utakubaliana na mm kuwa kwa nchi yetu gari za mfumo wa D4 hazitufai kabisa.
hapa tukitaka kupata ukweli na halisi ni kuwa huu mfumo sio hapa bongo tuu hata huko huko majuu bado hata wao wazungu wanalia na kusumbuliwa sana na magari ya mfumo huu hasa kama gari ya GDI.

vile vile gari za D4 kubali kataa tatizo lake kubwa ni mfumo wa mafuta sababu gari ya D4 haitaki kabisa mafuta ya kuchakachua na kwa nchi yetu mafuta ya kuchakachua ni pete na kidole je tutaepukaje sasa hapa??
ni kweli ni gari nzuri je hayo mafuta yakuweka kwenye D4 amabayo hayajachakachuliwa yanapatikana kilahisi?? na kaa ukijua magari yoote yanayokuja huku bongo kwa wenzetu yashakuwa hayatakiwi na kamwe usije danganyika na suala la kilometa sababu mashine za kushushia zipo hata mm ninayo ukitaka hata gari yako ya mwaka 90 dashboard la digital nitakuwekea hata kilomete 0.

kwabongo D4 hazitufai coz mafuta ni vimeo kama boss anajiweza basi kila likianza kusumbua miss ya nozel hasa mafuta basi ni kubadili nozel zote na d4 pump kama atakuwa anaweza garama zake.

kama unataka kuamini juu ya hili tafuta mafuta ya magumashi then wekwa kwenye gari yako utasikilizia inavyobadili muungurumo na ikiwezekana miss inaanzia hapo hapo.

JAMAA ALIOMBA USHAURI SO MM NIKAMPA KUFUATANA NA MM NINAVYO FAHAM KAMA WW UNAWAZAIDI ITAKUWA POWA MM VIGEZO VYANGU VYA KUTOMSHAURI JUU YA D4 NIMETOA HATA KAMA NI NEW TECHNOLOGY
 
Kwani gari zenye engine ya carburator au eFi zimetengenezwa kuweza kutumia mafuta yaliyo chakachuliwa?
 
Labda nikufahamishe kuwa wenzetu technology ikiwa na matatizo au ku feli kwa namna yoyote ile basi magari hayo hufanyiwa recalls na wamiliki hurekebishiwa tatizo bure au kupewa magari mapya kama issue ni kubwa , nadhani ulifatilia issue ya sudden acceleration ya toyota na recall yake , sijawahi kusikia recall ya D4 . Maanake kuwa ni tech perfect.
Lakini si wewe tu mko wengi mnaoogopa new tech ,ok ! si vibaya kugogopa lakini at least muwe mnaacha room ya kujifunza pale inapobidi, badala ya ku critisise na eventualy mna loose battle!!!!.
Kinachowaponza watu wengi ni modification ambazo mafundi huwa wanarecomend kwa wenye magari ... toa thermostat .. unajua ulaya kuna baridi huku kwetu joto.. mh. , mara ooh lock fan ili gari isichemshe .. badilisha size ya tairi ili gari liwe juu ..na kadhalika .. matatizo ndo huanzia hapo!!!!
Electronic controlled vehicles kwa kiasi kikubwa zinategemea sensors tofauti tofauti katika uendeshaji, mdodification. Mnazo recomend huwa zinafanya madhara badala ya mazuri... nikupe mfano tu hizo d4 ukiondoa thermostat, kitakachotokea temperature gauge haitapanda haraka , water temp sensor itapeleka info kwenye controll box ikisema engine haina joto la kutosha , control box nayo itacommanda pump kupeleka.mafuta mengi.kwenye nozzle , ikiamini kuwa kama joto la engine ni dogo , basi ni either gari ndio inastart asubuhi au nje kuna baridi sana!, mind you nozzle hazijakuwa designed kuhandle mafuta mengi kwa muda mrefu. Lakini we ndo umeshatoa thermostat , kinachofata nozzle ni kuharibika!!! Hapo nimekupa mfano mdogo tu na madhara yake , ninayo mingi tu kwa modification mnazofanya

Kaka nakupa ushauri nawe ufanyie kazi jaribu kuwashauri watu wayatumie magari kama walivyoyakuta huko japan bila kuongeza au kupunguza chochote

N.b tip kwa wenye d4 msioshe engine kwa pressure water !!!
 
lazima ist na opa ziwe tofauti kwenye ulaji wa mafuta, ist cc1450 opa cc1990
uzuri wa opa ina space ya kutosha,iko comfortable,ina dash board mzuri yenye show murua,
ubaya wake body yake ni delicate sana, ni kopo la castle, uchumi kama unasumbua utashindwa kuhudumia wese, tatizo pia iko chini sana sio nzuri kwenye ruff road kama ukienda nayo bush au kijijini jipange,ila kwa town poa, ina shepu ya jeneza, over

I see........
 
Ushuru wa gari kama corolla2003,harrier Lexus 2002 bongo shilling?
 
Ndugu, mimi nina gari opa D4 ni zuri mafuta haitumii sana , na ngumu haina ugojwa wa ajabu ajabu na ndani iko comfortable sana kama uko kweny prado ila sasa ukiweka mafuta machafu unawezapata presha kama uchumi hauko vizuri, inakubidi uwe na 1,000,000 .
Mm nakuomba uchague ambayosiyo D4
 
Labda nikufahamishe kuwa wenzetu technology ikiwa na matatizo au ku feli kwa namna yoyote ile basi magari hayo hufanyiwa recalls na wamiliki hurekebishiwa tatizo bure au kupewa magari mapya kama issue ni kubwa , nadhani ulifatilia issue ya sudden acceleration ya toyota na recall yake , sijawahi kusikia recall ya D4 . Maanake kuwa ni tech perfect.
Lakini si wewe tu mko wengi mnaoogopa new tech ,ok ! si vibaya kugogopa lakini at least muwe mnaacha room ya kujifunza pale inapobidi, badala ya ku critisise na eventualy mna loose battle!!!!.
Kinachowaponza watu wengi ni modification ambazo mafundi huwa wanarecomend kwa wenye magari ... toa thermostat .. unajua ulaya kuna baridi huku kwetu joto.. mh. , mara ooh lock fan ili gari isichemshe .. badilisha size ya tairi ili gari liwe juu ..na kadhalika .. matatizo ndo huanzia hapo!!!!
Electronic controlled vehicles kwa kiasi kikubwa zinategemea sensors tofauti tofauti katika uendeshaji, mdodification. Mnazo recomend huwa zinafanya madhara badala ya mazuri... nikupe mfano tu hizo d4 ukiondoa thermostat, kitakachotokea temperature gauge haitapanda haraka , water temp sensor itapeleka info kwenye controll box ikisema engine haina joto la kutosha , control box nayo itacommanda pump kupeleka.mafuta mengi.kwenye nozzle , ikiamini kuwa kama joto la engine ni dogo , basi ni either gari ndio inastart asubuhi au nje kuna baridi sana!, mind you nozzle hazijakuwa designed kuhandle mafuta mengi kwa muda mrefu. Lakini we ndo umeshatoa thermostat , kinachofata nozzle ni kuharibika!!! Hapo nimekupa mfano mdogo tu na madhara yake , ninayo mingi tu kwa modification mnazofanya

Kaka nakupa ushauri nawe ufanyie kazi jaribu kuwashauri watu wayatumie magari kama walivyoyakuta huko japan bila kuongeza au kupunguza chochote

N.b tip kwa wenye d4 msioshe engine kwa pressure water !!!

...tblj' uko juu... naomba ufafanuzi kuhusu hiyo tip!
" tip kwa wenye d4 msioshe engine kwa pressure water !!!"
 
Ndugu, mimi nina gari opa D4 ni zuri mafuta haitumii sana , na ngumu haina ugojwa wa ajabu ajabu na ndani iko comfortable sana kama uko kweny prado ila sasa ukiweka mafuta machafu unawezapata presha kama uchumi hauko vizuri, inakubidi uwe na 1,000,000 .
Mm nakuomba uchague ambayosiyo D4

Glad kuwa umesema ukweli!! So sad unshauri kitu ambacho hakizuiliki kwa hapo baadaye!! , lakinj hapo kwenye figure za maintanance , hii ndio lugha mafundi wanawatisha watu ili ku justfy hofu yao, yes d4 ni expensive kurekebisha lakini mpaka unafika kwenye hizo figures, ni kama una total system failure ,kitu ambacho ni nadra sana kutokea katika mazingira ya kawaida!!!

Magari ya leo yanatumia sensors kama.nilivyosema awali, kama sensors zikiwa na matatizo au zimekufa hutoa taarifa ya kuipotosha ECU na matokeo yake ni miss au gari kutokustart kabisa. lakini Ecu pia hurekodi kila jambo lililo tofauti na ramani yake (Ecu programed map) katika mfumo wa error code. Hapa ndo pa kuanzia kama fundi ni mjanja wa magari ya electronic!!!
Wanachofanya wataalamu wetu ni kukuambia figure kubwa ya matengenezo, halafu anaanza kucheza ana ana doo!! Akipatia balance inayo baki yake ,we unadhani umetengeneza gari kwa milioni kumbe watu wamebadilisha sensor ya laki!!!
 
...tblj' uko juu... naomba ufafanuzi kuhusu hiyo tip!
" tip kwa wenye d4 msioshe engine kwa pressure water !!!"

Mazingira ya engine za elecronic kuna low voltage wires and connectors na circuits ambazo hazitakiwi kuwa karibu na maji , ni kama vile radio na maji au simu na maji. Uko salama zaidi kama unaosha kwa vacuum au njia nyingine!!!
 
Back
Top Bottom