Nini Tatizo ya magari aina ya Opa

Mazingira ya engine za elecronic kuna low voltage wires and connectors na circuits ambazo hazitakiwi kuwa karibu na maji , ni kama vile radio na maji au simu na maji. Uko salama zaidi kama unaosha kwa vacuum au njia nyingine!!!

Matatizo ya 1G FE Beam 2000 vvti?
 
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

Wadau wengi tu wameshaathiriwa na viroba.
 
Labda nikufahamishe kuwa wenzetu technology ikiwa na matatizo au ku feli kwa namna yoyote ile basi magari hayo hufanyiwa recalls na wamiliki hurekebishiwa tatizo bure au kupewa magari mapya kama issue ni kubwa , nadhani ulifatilia issue ya sudden acceleration ya toyota na recall yake , sijawahi kusikia recall ya D4 . Maanake kuwa ni tech perfect.
Lakini si wewe tu mko wengi mnaoogopa new tech ,ok ! si vibaya kugogopa lakini at least muwe mnaacha room ya kujifunza pale inapobidi, badala ya ku critisise na eventualy mna loose battle!!!!.
Kinachowaponza watu wengi ni modification ambazo mafundi huwa wanarecomend kwa wenye magari ... toa thermostat .. unajua ulaya kuna baridi huku kwetu joto.. mh. , mara ooh lock fan ili gari isichemshe .. badilisha size ya tairi ili gari liwe juu ..na kadhalika .. matatizo ndo huanzia hapo!!!!
Electronic controlled vehicles kwa kiasi kikubwa zinategemea sensors tofauti tofauti katika uendeshaji, mdodification. Mnazo recomend huwa zinafanya madhara badala ya mazuri... nikupe mfano tu hizo d4 ukiondoa thermostat, kitakachotokea temperature gauge haitapanda haraka , water temp sensor itapeleka info kwenye controll box ikisema engine haina joto la kutosha , control box nayo itacommanda pump kupeleka.mafuta mengi.kwenye nozzle , ikiamini kuwa kama joto la engine ni dogo , basi ni either gari ndio inastart asubuhi au nje kuna baridi sana!, mind you nozzle hazijakuwa designed kuhandle mafuta mengi kwa muda mrefu. Lakini we ndo umeshatoa thermostat , kinachofata nozzle ni kuharibika!!! Hapo nimekupa mfano mdogo tu na madhara yake , ninayo mingi tu kwa modification mnazofanya

Kaka nakupa ushauri nawe ufanyie kazi jaribu kuwashauri watu wayatumie magari kama walivyoyakuta huko japan bila kuongeza au kupunguza chochote

N.b tip kwa wenye d4 msioshe engine kwa pressure water !!!
Duh, mkuu hadi nimeanza kuogopa maana majuzi nilipeleka mafundi wanifungie booster sasa jinsi walivyokuwa wanapitisha zile nyaya wanafumua pale kwenye dashboard na chini kote waya unakopita nilitamani niwape kipondo ukizingatia gari mpya halafu jamaa wanafumua kwa kuchomachoma na bisbisi cjui
 
Back
Top Bottom