Nini tatizo la RC Mrisho Gambo na wasaidizi wake?

Nini tatizo la RC Mrisho Gambo na wasaidizi wake?

RC wa Arusha kama sikosei ni mwenyeji wa mkoa wa Kagera. Ana sura ya upole lakini ni mkorofi.

DC anaonekana anavumilia mengi kutoka kwake wakati kamera zikiwa mbali na wao wawili.

Ngosha anapenda hulka za huyo RC tatizo ni kwamba dhamana ni kitu chenye mipaka ya muda.
Na huu u.ng.sh. utatugarimu baadaye mtu akikiuka maadali piga chini acha kumlea. Utamlea mtoto wa nyoka atakuwa nyoka mama na baadaye atakumeza pasipo wewe kujua.
 
I remember those days kabla hata ya kupata cheo chochote, mitaa ya sakina, Arusha.

Kinachomponza Mdogo wangu Mrisho, ni ile hali ya kuzungumza bila uwoga. Huwa anasema kilichopo moyoni, na ana misimamo yake ambayo ana amini ni misimamo sahihi. Hilo tu ndiyo kosa lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakudanganya je? Angalia hiyo clip na DC then angalie ile ya lema kwenye hospotal ya mama na watoto ndo utagundua tatizo lake jingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakati was Mwenge walitumana kumchafua DC DAQARRO hadharani kwa JERRY MURO kumshutumu Daqarro kuleta wanafunzi.

Pale pale Daqarro akaweka sawa kuwa HAMJUI KAMA SHULE ZIMEFUNGWA???

Linaweza kuchukuliwa Kama tukio LA kawaida lakini vita Aliyonayo GAMBO kwa viongozi wanaoipenda ARUSHA si ndogo.

(Nitamkumbuka daima RC FELIX NTIBENDA KIJIKO)
 
Duuh! DC kwa hekima alipaswa kuwa mvumilivu Mkuu wake akamaliza hata kama hakuwa sahihi. Alipaswa kuwa na uvumilivu.
 
Duuh! DC kwa hekima alipaswa kuwa mvumilivu Mkuu wake akamaliza hata kama hakuwa sahihi. Alipaswa kuwa na uvumilivu.
Mkuu kuna Principle fulani ivi ipo DSTV, NO PROCEEDINGS, POINT OF CORRECTION (NPPC), Kama kinachoongelewa kwa kutuhumiwa kwako, basi Unakatisha Immediately ili kuweka Attention ya wasikilizaji juu ya kinachoongelewa.
 
Mkuu kuna Principle fulani ivi ipo DSTV, NO PROCEEDINGS, POINT OF CORRECTION (NPPC), Kama kinachoongelewa kwa kutuhumiwa kwako, basi Unakatisha Immediately ili kuweka Attention ya wasikilizaji juu ya kinachoongelewa.
Duuh! hiyo hatari.
 
Gambo na Jerry Muro ni wapenda sifa huku Qaddaro akiwa mtu anayeipenda kazi yake na siyo sifa
 
Ukoo Wa Kambale huo kila mtu ana Sharubu...


Kila Mtu anajivunia kuwa karibu na mamlaka ya Uteuzi.

DC (mwana Kitengo) ana mvimbia RC (miongoni mwa watoto wapendwa wa Baba).

Uzuri wote ni magamba so ni heri tu wakiendelea kuparangana.
Dhana ya utawala wa sasa ni ' Mimi ndiye Mzalendo wa taifa hili, waliosalia ni wasaliti" utekelezaji wa dhana hii lazima ugomvi utaibuka tu.
 
Viongozi hawa wote tatizo lao ni moja tu, nalo ni kutoandaliwa vema kabla ya kuwa viongozi Umma. Hapo walipo kila anaongoza kwa jinsi anavyoona inafaa pasipo kujali miongozo ya Utumishi wa Umma inataka nini.
 
Viongozi hawa wote tatizo lao ni moja tu, nalo ni kutoandaliwa vema kabla ya kuwa viongozi wa Umma.Hapo walipo kila anaongoza kwa jinsi anavyoona inafaa pasipo kujali miongozo ya Utumishi wa Umma inataka nini.
 
Viongozi hawa wote tatizo lao ni moja tu, nalo ni kutoandaliwa vema kabla ya kuwa viongozi Umma. Hapo walipo kila anaongoza kwa jinsi anavyoona inafaa pasipo kujali miongozo ya Utumishi wa Umma inataka nini.
Umenena kama wazee 100 wakisukuma. Ungekuwa Kakora leo tungekuteuwa mtemi wakisukuma
 
Hawa wote wawili sehemu ya majukumu yao kwenye vyeo vyao ni fitina kwa mpinzani yoyote wa ccm.

Gambo aliwahi kumlisha Lema maneno na kupotosha kwa maneno kwenye speech ikamlazimu Lema kuingilia speech ya Gambo, makada wa CCM walimshukia Lema kuwa hana nidhamu wakiamini kijana Gambo alistahili kumfitinisha Lema na wadhamini wa mradi wa kituo cha mama na mtoto.
Leo yamewafika fitna hizo wanahamishiana wao kwa wao yani ni kama kula nyama ya mtu huwezi kuacha.

Naamini fitna ni sehemu ya topic muhimu sana wanayofundishwa huko UVCCM.

Cheo kimoja kimmeze mwenzake au vyote vifutwe as long as hivi ni vyeo venye mizizi ya kikoloni.

Rasimu ya Warioba iko na suluhisho la hili tatizo la Gambo na mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said!
 
Kila mtu anajikuta mbabe wa mwenzake, kipenzi cha baba haya ngoja tuendelee kuona misuli
 
Viongozi wengi wamelewa sifa na nakujiona miungu watu,akili wanaziacha mfuko wa nyuma,Kila mtu nimjuaji
 
Back
Top Bottom