Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Duh!Bakhresa historia ya utajiri wakw inaanzia kwenye menoya tembo, tembo wetu waliteseka sana mpaka yeye akasimama, habari ya kupaka rangi viatu ni story tu za mjini.
Duh!Bakhresa historia ya utajiri wakw inaanzia kwenye menoya tembo, tembo wetu waliteseka sana mpaka yeye akasimama, habari ya kupaka rangi viatu ni story tu za mjini.
Wapo wengi hata baba yake MO na BALHABOU wote wametajirikia huko.Bakhresa historia ya utajiri wakw inaanzia kwenye menoya tembo, tembo wetu waliteseka sana mpaka yeye akasimama, habari ya kupaka rangi viatu ni story tu za mjini.