hlo ni pepo la majini anahakikisha mahusiano yako hayadumu ya kimapenzi from no where unaweza ukashangaa uhusiano unavunjka ghafla....kaz ya ibilsi ni kuiba,kuua na kuharibu.ndo mishen zake kuu hzo.lakn Yesu amekuja kutupa uzima tele(yohana 10;10),shetan hana nguvu yeyote is powerless ni kama simba aungurumae.lakn kuna simba wa kabila la Yuda YESU krsto anaweza kukuweka huru haijalishi umbali kwa sababu hulituma neno lake na kuwakomboa kutoka katika maangamizi ZABUR 107;20,naomba utamke haya maneno kwanza BWANA YESU,MIMI NI MWENYE DHAMBI,NISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE KWA DAMU YAKO ILIYOMWAGIKA MSALABANI,LIFUTE JINA LANGU KTK KITABU CHA HUKUMU LIANDIKE JINA LANGU KTK KITABU CHA UZIMA,ASANTE YESU KWA KUWA SASA NIMEOKOKA. weka mkono wako kifuani na sema maneno haya...nimefunkwa na damu ya YESU kuanzia utosini hadi ktk nyayo za miguu,mishale yote iliyoelekezwa kuja kwangu ndoto chafu,majini,mapepo nayarudisha kwa aliyeyatuma mara 7 ktk jina la YESU AMEN.SOMA ZABURI 70 KILA SIKU KABLA YA KULALA KWA SIKU 7.UPO HURU KATKA JINA LA YESU