Amen,thanks.Nimekuelewa sana.Ni kweli i need to work on my spiritual world..
One question...what exactly is meditation?ni kukaa kimya au?
There are many types of meditation, ntakupa chache tu za kuanzia.
Kuna ile kama yoga, unakaa mahali tulivu pasipo na kelele and unaforce your brain not to think of anything, unakaa hivyo kwa dakika kadhaa.
Second, unaweza kwenda mahali take example chini ya mti then unasikiliza sauti za ndege, kando ya mto na kuangalia maji yanavyopita, or usiku unatazama juu na kuhesabu nyota.
Third, counting your steps or heartbeats as you walk labda umetoka kazini, kimya kimya unahesabu hatua.
Fourth, musical meditation, best done with classical music or any music with no words and siyo instrumental ya mziki unaoufahamu ili usiimbe then you wont be meditating.
Fifth, spiritual, hii unakua kama unasali but unatafakari tu ukuu wa Mungu and everythng you know about God.
And so many more, ntakutaftia nyingine but so far jaribu kuangalia inayoendana na mazingira yako.
The aim ya meditation ni kama kupunguza wingi wa mawazo au emotions or stress miili yetu inayobeba ndiyo maana while meditating, you must force at least your brain not to think of anything. Halafu, most of meditations macho yanafungwa, kutoa ile ya counting steps, lengo la kufunga macho ni kutupunguzia distruction zinazoweza kukutoa kwenye lengo. And they are best done while alone.
Enough sermon for today right?