Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo
Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano hayakupi amani na furaha ya moyo
Nini suluhisho ktk hiliiii?