Nini siri ya watu wengi kumiliki Toyota IST?

1.Body Structure yake imekaa ki ugumu hivyo hata ukilata mikwaruzo si ile gari unaweza poteza hamu kutembea nayo barabarani.
2.Ulaji wa mafuta zipo injini mbili 1.3 na 1.5 sawa sawa na Vitz ulaji wake sababu ni Injini ile ile vvti.
3.Upatikanaji wake wa vipuri ni rahisi kwa hapa mjini kama si nchini kutokana na wingi wake.
4.Halafu katika gari za bei nafuu ndio imara zaidi ukilinganisha Racts,Vits,Passo......
 
Hahahah naskia hako ka lunch box kanafika mpaka 15kms per litre hivi ni kweli!?
 
Tunapenda kununua tu gari kwa kuigana bila research lakini kuna gari huko duniani (Japan) very cheap

Kama ni vipuli twaweza nunua kwa wingi zikashuka bei. Wabongo wanagezana kama ilivo kwa kufanya biashara. Angalia saiz legacy inavokuja juu.

Honda, na mitusubishi wana vigari very economical. Ila hizi saresare maua hapana kwa mimi.

Kuna kitoyota Belta pia hakijawa maarufu sana ila mafuta kama Vitz maana ni kizazi kimoja
 
Weka picha zake tuone

ni gari nzuri kwa movement za mjini na ulaji wa mafuta ni mdogo na hata size, unaweza pack popote ,spea ziko nyingi ..ni kweli IST zimekua nyingi sana na za kila rangi
bei zake haizizidi 10 m..kwenye show room with full registration
Acha masihara show room upate IST kwa 10m?
 
Safi kabisa. Unalipa kodi vizuri. Sasa fanya mpango ununue helikopta ili uachane na adha ya kupishana na vibaby walker mtaani.
Okay kiongozi nimeshaongea na mzungu toka canada ananiandalia utaratibu huo!
 
Back
Top Bottom