Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,326
- 4,371
sio kweliSijawahi kuona mmasai ameoa kabila lingine tofauti na mmasai mwenzake
sio kweliSijawahi kuona mmasai ameoa kabila lingine tofauti na mmasai mwenzake
Sijawahi ona mmasai anakunywa chai na mkate....hii imekaaje mazee
[emoji23][emoji23]Na sijawah kusikia masai anasema maisha ni magum
😅😅😅😅hii kaliSijawahi sikia mmasai amededi....hii imekaaje!?
Sawa. Ile ya kuchoma mkuki nje ya nyumba inaitwaje?Huwezi ona Mmasai kachepuka
Acha unafkSijawahi sikia mmasai amededi....hii imekaaje!?
labda bikra ya nyuma yambele ni ndoto za mchanaNampango wa kuoa mmasai, tena wale wakuvaa mashuka, na kutoboa masikio,
Bila shaka nitakuta bikra
Eti rafiki unanunua au hununui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine?
Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao na wala hawazivai.
Kwanini iwe sandals tu au sababu wanapenda fimbo na sandals zinachomekwa kwenye fimbo? Niliwahi muuliza mmoja akaniuliza nanunua au sinunui?
Nikajua hali ya hewa itachafuka. Hebu wenye kujua tufahamishane labda wanamikataba na makampuni ya ngozi na wao ndio wenye ng'ombe.
Wanapelekwa kwenye mageto ya wadada wanaowasuka.Wamasai wapo na secret sana wapo town miaka kibao na huwezi kujua anadate na nan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yao ni myepesi kwa sababu hawafikirii mambo ya kupanga nyumba,kujenga nyumba,kununua gari,kuvaa nguo za gharama,kufanya harusi za gharama na wanaishi popote hata kwenye mbuga ya serikali na hawasumbuliwi na mtu.Na sijawah kusikia masai anasema maisha ni magum
Mkuu watu wanaona maisha ya utumwa ya kizungu na kiarabu ndio maendeleo.Ukweli ni kwamba maisha ya kisasa ni hovyo kulinganisha na masai.Masai hana muda na mtu tufauti na sisi waswahili tuna milolongo ya mambo ipo siku watu watarudi katika maisha ya wamasai na wasukuma.Hawaikimbizi dunia bali wanatembea nayo kwa kuzingatia nature.Maisha yao ni myepesi kwa sababu hawafikirii mambo ya kupanga nyumba,kujenga nyumba,kununua gari,kuvaa nguo za gharama,kufanya harusi za gharama na wanaishi popote hata kwenye mbuga ya serikali na hawasumbuliwi na mtu.
Mkuu watu wanaona maisha ya utumwa ya kizungu na kiarabu ndio maendeleo.Ukweli ni kwamba maisha ya kisasa ni hovyo kulinganisha na masai.Masai hana muda na mtu tufauti na sisi waswahili tuna milolongo ya mambo ipo siku watu watarudi katika maisha ya wamasai na wasukuma.Hawaikimbizi dunia bali wanatembea nayo kwa kuzingatia nature.