Hoja Imeungwa MkonoNa hii mentality inafanya wanawake wajiharibu wakidhani kweli wanaume wanapenda wanawake weupe. Wapo watapenda weupe lakini wapo watapenda weusi...
Jikubali, elewa huyo aliyekuumba alitaka uwe hivyo.
Ngoja nisubiri...Si ndo mpaka aje?
ila wewe kumbe ni mke wa mtuΒ‘Si ndo mpaka aje?
Ulikua hujui.ila wewe kumbe ni mke wa mtuΒ‘
Basi... Nitajua cha kufanya...Ulikua hujui.
Mbona umechelewa sana
π π π π π πBasi... Nitajua cha kufanya...
Kila mtu ana mtu wakeBasi... Nitajua cha kufanya...
Kama kuna ka binti sayuni... kenye roho wa BWANA usisite kunishitua...
Sawa.Kama kuna ka binti sayuni... kenye roho wa BWANA usisite kunishitua...
NaamTii Kama Chungu
Rafiki wa Magu
Aende South SudanTii Kama Chungu
πππSema wanaume wa Wakisukuma
Si ndioo. ππππΉπΉπΉ Mwanamke awe mweusi atapapatikiwa ikiwa ana traco..!!
Rangi ya mtume inapendwa bila traco πΉSi ndioo. πππ
Wewe ni jinsia gani?Uweusi hauvutii kabisa
Mtoto colored ,bambadi uso soft usio chunusi ,natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaende hewani sekunde ,kwao Obay oysterbay masaki binti huyo mtanashati.Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe.wengi wanasema uweupe unavutia.ila uweusi unaogofya sana wengi wanausema uweusi unaharibu kizazi