Nini siri ya 'Single Mothers' kujaza social platforms?

Hao unaokutana nao kwenye hizo platform wote wanataka kuolewa?

Wazalishaji wakubwa wa masingle mother ni wanaume na tukizalisha tunawaacha, kwanini tusipunguze uzalishaji huu kwa kudhibiti tamaa zetu za kimwili.
Kwa wale ninaowafahamu, zaidi ya asilimia 99,9 wanataka

1. Kuolewa
2. Kuolewa
3. Kuolewa

Hao wanaobaki 0,1 wengi utawasikia wakidai "kutendwa" na wenzi wa zamani hivyo hawataki kuumizwa tena. Japo ukiwasikiliza sana unagundua nao wanahitaji waume ni kwamba tu hawajapata watu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo la kutegesheana..mimi ni muhanga hapo...wanawake sometimes wanazingua sana...wanamzalisha mwanaume kwa lazima tena makusudi kabisa ..wakijiwekea msimamo hata ukizingua watalea wenyewe watoto ila huko mbele ya safari huwa ni kesi...
 
Back
Top Bottom