Nini siri ya 'Single Mothers' kujaza social platforms?

Hao unaokutana nao kwenye hizo platform wote wanataka kuolewa?

Wazalishaji wakubwa wa masingle mother ni wanaume na tukizalisha tunawaacha, kwanini tusipunguze uzalishaji huu kwa kudhibiti tamaa zetu za kimwili.

Sasa kama wao wenyewe hawajitambui tufanyeje....shauri yao kwa kugawa gawa papuchi hovyo. Watu wanatia mimba wanasepa.
 
Ukiingia insta unakutana kibao, Snapchat wapo, kwenye Dating Apps huko ndo balaa, JF mama na FB ndo usiseme

Nimegundua hata wale maslay queen "wabinua viuno" ni memba wazuri wa kundi hili.

Hii kitu imenifikirisha sana. Ila ni wazi kuwa watu hawa bado wana kiu ya kumiliki wenza wao, lakini nimejiuliza tu;

Je, wameshindwa kabisa kurudisha moyo kwa waliozaa nao hapo mwanzo wakayajenga?

Je huko kitaa au makazini hawapati watu wanaoonyesha hisia kwao au wako busy kiasi hawapati muda wa kujimix wakapata wenza wapya ?

Kuna ticha aliwahi kunambia ukiwa na mtoto wa kike mchunge kwa masaa 24/7 dhidi ya jicho la mwanaume kwani hata pale unapohisi bintiyo yupo salama chumbani kwake, bado kuna mashababi wanammendea kwa kumpigia simu, kumgongea dirishani, kumchimbia vitobo nk. Inakuwaje sasa mwanamke huyu ambaye kwa nadharia ya mwalimu wangu anahitaji ulinzi kwa kuwa anawindwa masaa yote aonekane anahaha kiasi hiki kusaka mwenza?

Wakuu ni kwamba dunia imebadilika kiasi kwamba "seori" za yule ticha wangu hazifanyi kazi tena kwa saivi au?

Karibuni tujadili kwa amani.
Huko kwenye makundi ndiko wanakopata socialization
 
Yaani wako kama mademu wa Bongo Movie, wako kila sehemu kutafuta wanaume wasiojitambua ili walee watoto wao na kuwatumia watakavyo. Hapa mimi ndipo mademu wanaponiacha hoi, atatoka na kuzaa na muuza unga, kibaka ama jambazi akijuwa jamaa hana future nzuri lakini atatoka naye tu ili apate kula nje kila siku na kutambia wenzie, mwisho wa siku akiachwa anahaha na kuanza kwenda kwa waganga kuiba waume za watu.
 
haha watakutusi
 
Ukiingia insta unakutana kibao, Snapchat wapo, kwenye Dating Apps huko ndo balaa, JF mama na FB ndo usiseme

Nimegundua hata wale maslay queen "wabinua viuno" ni memba wazuri wa kundi hili.

Hii kitu imenifikirisha sana. Ila ni wazi kuwa watu hawa bado wana kiu ya kumiliki wenza wao, lakini nimejiuliza tu;

Je, wameshindwa kabisa kurudisha moyo kwa waliozaa nao hapo mwanzo wakayajenga?

Je huko kitaa au makazini hawapati watu wanaoonyesha hisia kwao au wako busy kiasi hawapati muda wa kujimix wakapata wenza wapya ?

Kuna ticha aliwahi kunambia ukiwa na mtoto wa kike mchunge kwa masaa 24/7 dhidi ya jicho la mwanaume kwani hata pale unapohisi bintiyo yupo salama chumbani kwake, bado kuna mashababi wanammendea kwa kumpigia simu, kumgongea dirishani, kumchimbia vitobo nk. Inakuwaje sasa mwanamke huyu ambaye kwa nadharia ya mwalimu wangu anahitaji ulinzi kwa kuwa anawindwa masaa yote aonekane anahaha kiasi hiki kusaka mwenza?

Wakuu ni kwamba dunia imebadilika kiasi kwamba "seori" za yule ticha wangu hazifanyi kazi tena kwa saivi au?

Karibuni tujadili kwa amani.
Nadhani wengi wanakuwa wameharibu kabisa kwa wazazi wenzao kiasi kwamba haiwezekani tena kurekebisha mapenzi ya awali.

Naamini, mapenzi ya kweli huja mara moja tu.

Nina mfano wa jamaa mmoja alikuwa akiishi na mzazi mwenzie, wakiwa na mtoto wa miaka 3, mama mtoto alianza mahusiano na kijana wa jirani aliyekuwa amepanga mlango unaofuata kutoka kwao.

Baba mtoto wake aligundua, na akamsihi aachane na tabia ile. Lakini binti aliendelea kwa siri. Baba mtoto akaamua ahame na mtoto wake, na akahamia sehemu nyingine na baadaye akahama mkoa.

Huku nyuma, mzazi mwezie aliendelea kula starehe na yule kijana. Baada ya mwaka mmoja, akarudi kuomba msamaha. Baba mtoto alikataa, na baadaye alioa mwanamke mwingine na mpaka sasa wanaendelea vema. Na yule mzazi mwenzie yupo anaendelea kubadili wenzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa habari ya mimba mwanamke ndio mlinzi mkuu wa mwili wake...ivi mdada wa miaka 20+ ni wakubeba mimba bahati mbaya kweli???
Labda uwe kabinti ndo akili zao zinakuaga juujuu sana hawako smart kwenye lolote.
 
sioni kama ni kichaa,labda alipata tumaini jipya--na hili umaini nalo likaamua kukimbia.
 
Attachments

  • sumaphd_20200717_171803_0.jpg
    sumaphd_20200717_171803_0.jpg
    101.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom