]ni usharobalo tu[/[/COLOR]QUOTE]
Tena hawa masharobaro ndiyo wanafurahisha zaidi na kuvuruga THEORY YA lugha kulingana na formula; wakilewa sana wanaanza kulia kwa kilugha chao...Ndiyo major criticism ya THEORY YETU YA UTASEMA LUGHA ILIYOTUMIKA KUANDIKA FORMULA YA POMBE ULEWAYO!!!!