Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
KATIKA kuelimishana ningependa kujua Hasa kwa wenye uelewa Kama waliopita Seminari, kwa Nini Wengi ya watu waliopata kuacha Upadri especially kwa njia ya kushindwa nadhiri ya Useja ....Maisha Yao Huwa ya Kutangatanga hadi mwisho ???
Hiyo haina maana kuwa Ndani ya Kanisa hakuna walioteleza wapo ...lakini tazameni wale walioacha Upadri .....Nina Mifano michache ya ambao tangu wameondoka Kanisani Maisha Yao yamekwua ya kutanga tanga ....
ASKOFU LUKANIMA
HUYU alikuwa ASKOFU wa Jimbo Kuu katoliki Arusha ..akimpokea Marehemu ASKOFU Dennis Dunnin ..., ASKOFU Huyo alipata fununu Enzi Zile ....na wakristo Mara wakaona ghafla ....ametoweka ,Enzi Zile hapakuwa na social media kwa Hiyo Wengi walibaki tu na taharuki wasijue Yuko wapi... Ikadaiwa kapelekwa adhabu Vatican ....,
Miaka miwili iliyopita ASKOFU HUYU alikufa KATIKA Hali ya upweke ....huko mwanza na wala hakuzikwa Kanisani ......
Padri Severino Tupa
HUYU alikiuka utii kwa ASKOFU kwa kushiriki siasa kinyume cha maagizo ya Kanisa ...( mapadri hawaruhusiwi kugombea nafasi said siasa ) ....alipogombea ubunge nafikiri Moja ya Majimbo Dodoma Ikawa kajifukuza kwa utomvu wa nidhamu ...huko kwenye siasa akaanguka kwa mwanamke .....
Baada ya muda alikuja kushindwa ubunge ....mwanamke akamkimbia.....akaanza Maisha ya kutanga tanga ....na Mara nyingine akienda kwa mapadri wenzake makanisani kuomba hata chakula ...Baada ya kuwa ameishi Nyumba ya udongo ...kuna wakati alikuwa KATIKA Hali ya kuchanganyikiwa anaenda akiwa na mavazi ya Upadri yaliyochakaa ..machafu viwanja vya st joseph kuomba ..........ilifikia mahali Kanisa likaamua kimsamehe Ila kumsitiri ...kwa kuamua kumpa matunzo kwenye Nyumba ya wazee ...
ASKOFU Millingo
HUYU alikuwa ASKOFU mkuu Lusaka ...akaanguka kwenye dhambi na kukiuka nadhiri ya Useja ...Baada ya hapo Maisha yake yote yamekwua ya mahangaiko ...kuna wakati Aliitwa Vatican ...Kama wengine wanaoanguka na kutakiwa kukaa kifungo cha majuto ..kusali na kufunga ...
Lakini bado Baada ya muda mrefu alipoachiwa akaanguka dhambini hadi kuhama Kanisa na kuoa mkorea ......ilifikia Tena mahala akaonewa huruma ....na Kanisa likamchukua ...Sina uhakika lakini mwisho alirudishwa Tena Vatican kutunzwa
Numepata kukutana naye Amstedam kwenye airport Lounge akiwa na mkewe ..
ASKOFU Jacob Koda
Makao makuu ya Kanisa Katolini nchini Vatican yamemwondosha katika ngazi zote za uongozi wa kanisa aliyekuwa Askofu Jacob Koda wa Dayosisi ya Same, Kilimanjaro. Askofu huyo ameshauriwa kuchukua muda wa mapumziko, kutafakari na kujitambua. Kufuatia hatua hiyo, Papa Benedict XVI amemteua Baba Rogath Kimaryo kuchukua nyadhifa za Dayosisi hiyo ya Same hadi hapo Dayosisi hiyo itakapopata Askofu mwingine.
Endelea kusoma habari hii iliyopatikana katika mtandao wa Independent Catholic News
Following Bishop Kodas removal, Pope Benedict XVI has appointed Father Rogath Kimaryo to be Apostolic Administrator of the Same Catholic diocese until the diocese gets a new bishop.
Father Kimaryo, who was until recently the parish priest of Kipawa Parish in Dar es Salaam will be authorised during Mass at Same Cathedral Church, to be presided over by Cardinal Polycarp Pengo.
Without elaborating, the Vatican Apostolic Nuncio to Tanzania Archbishop Joseph Chennoth said that Bishop Koda has now been advised to take time for rest, reflection and personal study.
We have advised him to leave the Diocese, and Father Kimaryo will lead the See for a short while, until the Holy Father announces (the appointment of) a new bishop, he said.
Pope John Paul II nominated Koda as the new bishop of Same in September 1999.
Father Kimaryo, who is a member of the Holy Ghost Fathers congregation, holds a doctorate in Law, from the Rome-based Pontifical Gregorian University.
An Apostolic Administrator in the Roman Catholic Church is a prelate appointed by the Pope to serve as the ordinary.
Padri Wilbrod Slaa
Haiwezi kuwa Kama ni conclusion ya kinachowapata mapadri wanaoshindwa nadhiri zao ...lakini historian iko Wazi kote alikopita alifanya kazi kwa mafanikio makubwa ...lakini mwisho anaondoka kwa sababu ambazo hazieleweki
alikuwa padri kwa mafanikio makubwa hadi kupata cheo kikubwa Kabisa Chennye mamlaka cha Katibu Mkuu wa TEC ...mtendaji Mkuu wa Kanisa nchini Tanzania ....Kabila ya kuanguka dhambini ...na kujikuta anaondolewa kwenye cheo Chake ...Kanisa bado halikukata Tamaa likampeleka mbulu na akawa Kama Vicar Au Monsineor ..masaidizi mkuu wa ASKOFU mbulu ....nako yeye mwenyewe anaondoka kugombea ubunge
Akawa Mbunge wa karatu kwa mafanikio makubwa .....baadaye Katibu Mkuu kwa mafanikio makubwa ....mgombea Urais na kipenzi cha wote kwa mafanikio makubwa .......lakini pia nako chadema akaondoka pamoja na watanzania wote wanaomtakia mema ..wazazi ..Mzazi mwenzake..ndugu zake na watoto wanaompenda ....pengine aliyeunga Au kuchagiza kuondoka huko ni Mmoja Au wachache wanaonufaika ...na kumtumia KATIKA uzee wake ...
Hatujui kama naye atakuwa Mtu wa mahangaiko ....