Nini siri ya kiapo kikuu cha Upadri? Tazama mwisho wa Askofu Millingo, Askofu Lukanima...

Hii ni chambuzi feki, kwani wanaochanganyikiwa huwaoni ndani ya jamii ? kwani ma padre wao sio moja ya jamii.?

Martin Lutter naye alihasi upadree akaoa na akafanikiwa.
 
BAADA YA KUHANGAIKA SANA ASKOFU MILLINGO ALIRUDI KUPIGA MAGOTI KANISANI KAMA PD TUPA ALIVYOENDA KUOMBA ARUDISHWE KANISANI


Zambian Archbishop Emmanuel Milingo has decided to leave his "wife" and return to the fold of the Roman Catholic Church, the Vatican announced on August 14.

"I once again, at this time, dedicate my life to the Catholic church with all my heart, I renounce my life with Maria Sung and my links with Reverend Moon," Milingo said in a letter sent to Pope .

According to Agence France Presse, the letter was dated August 11, but was only made public on August 14 by the Holy See.

Meanwhile, Maria Sung has begun a hunger strike, vowing to starve herself to death unless she sees her "husband".

Milingo came under the threat of excommunication after he "married" 43-year-old Maria Sung, a South Korean woman, in a mass wedding conducted by Sun Myung Moon on May 27.

In July, the Vatican told the Archbishop that he would be excommunicated on August 20 unless he agreed to:

(a) Leave Maria Sung, (b) sever all links with the sect, Family Federation for World Peace and Unification, (c) declare publicly his fidelity to the doctrine and ecclesiastical discipline of celibacy and to manifest his obedience to the Supreme Pontiff by a clear and unequivocal act."

On August 6, Milingo met with the Pope at Castel Gondalfo. After this meeting, the Vatican lifted the threat of excommunication against the Zambian prelate.

The Archbishop has not been seen in public since August 8. Maria Sung accuses the Vatican of holding Milingo against his will. The Vatican responds that the Archbishop is on retreat "for a period of reflection and prayer."
 
Acha upotoshaji
Kwa asilimia kubwa hata watumishi wa umma wanapoacha utumishi huchalala. Acha mizengwe isiyo na tija.
Kaangalie watu waliopata kuwa mawaziri na vigogo wanavyo chalala. Acheni hizo. Mapadre ni rahisi sana kuchalala kwa sababu wanapoacha wengi hua hawana viunua mgongo nyie vipi.
 
Acha upotoshaji
Kwa asilimia kubwa hata watumishi wa umma wanapoacha utumishi huchalala. Acha mizengwe isiyo na tija.
Kaangalie watu waliopata kuwa mawaziri na vigogo wanavyo chalala. Acheni hizo. Mapadre ni rahisi sana kuchalala kwa sababu wanapoacha wengi hua hawana viunua mgongo nyie vipi.

Hapa tunatafiti Uhusiano wa Kiapo na Laana ( kuchalala kama unavyoita )
 
Yote haya yanaonekana sasa ......lakini miezi mitatu iliyopita ndiye aliyekuwa shujaa mkuu wa upinzani ..... hivi kama sio unafiki hizi chuki za kupandikiza propaganda za kiwango hiki ni kwa faida ya nani?

Subirini uchaguzi upite tukutane hapa hapa .....

Umeona eeh!
 
Hapa tunatafiti Uhusiano wa Kiapo na Laana ( kuchalala kama unavyoita )

Tafuta watumishi wa umma vigogo walio chalala nao tuone uhusiano wao.
Hapa sio kiapo wala nini, Mungu alikataa kumdhibu binadamu duniani anamsubiri huko mbinguni awawajibishe. Yanayotokea kwa Mapadre wanaoacha ni very expected wala sio kiapo. Wengi wamezoea sadaka, sasa mtaani kugumu kutafuta na hawana kiinua mgongo.
Wafanyakazi wa serikali wanapata kiinua mgongo ni miaka 2 tu wamechalala kwa asilimia kubwa. Acheni mambo yenu bwana.
 
Hakuna kitu hapo ameshawadhalilisha tu. Ni sawa na mtu aseme kwenye media kwamba ameambiwa na rafiki yako kuwa wewe ni "shoga" unapenda sana kugongwa reverse au wewe unatembea na mama yako alafu ajitetee kuwa yeye amesema alichoambiwa kwaiyo ushahidi afatwe rafiki yako. Mtu wa ivo ww utasema hana hatiya? Hajakudhalilisha?
Huu mfano wenyewe unadhalilisha, lakini inaonyesha jinsi ulivyo athiriwa na kugogwa, kila kitu kinakukumbusha hilo tendo, siyo mbaya sana unaweza acha
 
Mnamkumbuka Yule padri aliyetuhumiwa Kunajisi ..Padri Kimaro ...alifungwa miaka mitatu ..Baada ya kuachiwa ...aliachishwa Upadri ..lakini kulikua na arrangement Fulani ambayo angepata matunzo ...aliona aibu Sana na kuamua kukimbia ....

KATIKA kutanga tanga aliokotwa Huko Msumbiji akiwa amefariki kutokana na Tabu ...Kanisa lilitaarifiwa na alisitiriwa nyumbani kwao

hata wewe utakufa tu mkuu, iwe kwenye AC room, au mtaroni...tofauti za kisiasa tu tunafikia hatua kutabiriana jinsi tutakavyokufa...hayo yote mnayaona sasa....wakati mnamuita rais wa mioyo yenu hayo hamkujua?...wakati mnasherekea list of shame inavyopaisha chama chenu haya hamkuyaona.....

dr alichagua kukaa kimya ila propaganda zenu za dharau ndio zimemchokonoa....nawaambieni baada ya october mtajuta...tutamtetea dr hata kama tutabaki wachache.....ukweli unatabia moja lazima uumize upande mmoja
 
Labda Kama sikusikia vizuri lakini ninachojua ni kwamba Dr Slaa alisema Gwajima ndie aliyemwambia kwa Lowassa kawahonga maaskofu 30 na hajasema Kama yeye anao ushahidi wa hao maaskofu kuhongwa,,

Sasa wewe Mtamile bado huoni hiyo ni akili iliyoathirika tayari? Hivi kama atafikishwa mbele ya mahakama kwa kosa hilo huo ushahidi wake wa kuambiwa au kusikia utamwokoa?Ambacho hukijui ni kuwa hapo lipo kasa la jinai. Hivi mch.Gwajima leo hii akiitwa kulitolea ushahidi mbele ya mahakama atakubali alimwambia Slaa maneno hayo? Hivi wewe unaamini mch.Gwajima hana uthubutu wa kuyatamka hayo mwenyewe mpaka amtumie Slaa. Kesho fuatilia kwenye vyombo vya habari Gwajima atakuwa hewani uone atakavyomchana Slaa na kumwacha uchi. Bahati yake Slaa alijua kanisa katoliki halihangaiki na masuala ya wapotokaji kama hao vinginevyo wao ndio wenye haki ya kumtaka Slaa kuwasafisha mapare wake.Mara nyingi wao husamehe ila ikiwepo jinai sarikali ndio hushtaki kama ilivyotokea Gwajima kumtukana au kumvunjia heshima cardinal Pengo. Yeye alitamka mapema kumsamehe Gwajima ila serikali kulinda amani ya nchi ikamfikisha mahakamani.
 
Ningebarikiwa zaidi na mtoa mada kama angeweka katika bandiko lake, kiapo chenyewe tukione ni kwa namna gani kitakua na madhara endapo muapaji anakibatilisha.
 
hata wewe utakufa tu mkuu, iwe kwenye AC room, au mtaroni...tofauti za kisiasa tu tunafikia hatua kutabiriana jinsi tutakavyokufa...hayo yote mnayaona sasa....wakati mnamuita rais wa mioyo yenu hayo hamkujua?...wakati mnasherekea list of shame inavyopaisha chama chenu haya hamkuyaona.....

dr alichagua kukaa kimya ila propaganda zenu za dharau ndio zimemchokonoa....nawaambieni baada ya october mtajuta...tutamtetea dr hata kama tutabaki wachache.....ukweli unatabia moja lazima uumize upande mmoja

Huo mfano wa Padri Aliyetuhumiwa kunajisi ...haumuhusu ,Kwani yeye hajawahi kushtakiwa kwa Kosa Hilo ...
 
Kwani watu wangapi wameokotwa wakiwa wamekufa? Nafikiri ni wengi mno, acha hizo

mkuu hawa watu wamejitoa ufahamu kabisa.....kufikia hadi hatua ya kutabiri wenzao watakufaje, kisa wametofatiana kisiasa...kana kwamba wao wanajua watakufaje!!!
 
Katika kumbukumbu huko Rubya kuna padre aliyeasi miaka ya 70 na kuoa baada ye akaamia morogoro akawa mkulima, akiwa Bukoba -Rubya walishirikiana na mtu mmoja wakamuua na kumyanganya mali, amefia morogoro mwaka 2005, nimesahau jina, nafikri ni padre wa kwanza katika dioyosisi ya rubya.
 
KATIKA kuelimishana ningependa kujua Hasa kwa wenye uelewa Kama waliopita Seminari, kwa Nini Wengi ya watu waliopata kuacha Upadri especially kwa njia ya kushindwa nadhiri ya Useja ....Maisha Yao Huwa ya Kutangatanga hadi mwisho ???

Hiyo haina maana kuwa Ndani ya Kanisa hakuna walioteleza wapo ...lakini tazameni wale walioacha Upadri .....Nina Mifano michache ya ambao tangu wameondoka Kanisani Maisha Yao yamekwua ya kutanga tanga ....


ASKOFU LUKANIMA

HUYU alikuwa ASKOFU wa Jimbo Kuu katoliki Arusha ..akimpokea Marehemu ASKOFU Dennis Dunnin ..., ASKOFU Huyo alipata fununu Enzi Zile ....na wakristo Mara wakaona ghafla ....ametoweka ,Enzi Zile hapakuwa na social media kwa Hiyo Wengi walibaki tu na taharuki wasijue Yuko wapi... Ikadaiwa kapelekwa adhabu Vatican ....,
Miaka miwili iliyopita ASKOFU HUYU alikufa KATIKA Hali ya upweke ....huko mwanza na wala hakuzikwa Kanisani ......

Padri Severino Tupa

HUYU alikiuka utii kwa ASKOFU kwa kushiriki siasa kinyume cha maagizo ya Kanisa ...( mapadri hawaruhusiwi kugombea nafasi said siasa ) ....alipogombea ubunge nafikiri Moja ya Majimbo Dodoma Ikawa kajifukuza kwa utomvu wa nidhamu ...huko kwenye siasa akaanguka kwa mwanamke .....
Baada ya muda alikuja kushindwa ubunge ....mwanamke akamkimbia.....akaanza Maisha ya kutanga tanga ....na Mara nyingine akienda kwa mapadri wenzake makanisani kuomba hata chakula ...Baada ya kuwa ameishi Nyumba ya udongo ...kuna wakati alikuwa KATIKA Hali ya kuchanganyikiwa anaenda akiwa na mavazi ya Upadri yaliyochakaa ..machafu viwanja vya st joseph kuomba ..........ilifikia mahali Kanisa likaamua kimsamehe Ila kumsitiri ...kwa kuamua kumpa matunzo kwenye Nyumba ya wazee ...


ASKOFU Millingo

HUYU alikuwa ASKOFU mkuu Lusaka ...akaanguka kwenye dhambi na kukiuka nadhiri ya Useja ...Baada ya hapo Maisha yake yote yamekwua ya mahangaiko ...kuna wakati Aliitwa Vatican ...Kama wengine wanaoanguka na kutakiwa kukaa kifungo cha majuto ..kusali na kufunga ...
Lakini bado Baada ya muda mrefu alipoachiwa akaanguka dhambini hadi kuhama Kanisa na kuoa mkorea ......ilifikia Tena mahala akaonewa huruma ....na Kanisa likamchukua ...Sina uhakika lakini mwisho alirudishwa Tena Vatican kutunzwa
Numepata kukutana naye Amstedam kwenye airport Lounge akiwa na mkewe ..

ASKOFU Jacob Koda

Makao makuu ya Kanisa Katolini nchini Vatican yamemwondosha katika ngazi zote za uongozi wa kanisa aliyekuwa Askofu Jacob Koda wa Dayosisi ya Same, Kilimanjaro. Askofu huyo ameshauriwa kuchukua muda wa mapumziko, kutafakari na kujitambua. Kufuatia hatua hiyo, Papa Benedict XVI amemteua Baba Rogath Kimaryo kuchukua nyadhifa za Dayosisi hiyo ya Same hadi hapo Dayosisi hiyo itakapopata Askofu mwingine.

Endelea kusoma habari hii iliyopatikana katika mtandao wa Independent Catholic News

Following Bishop Koda’s removal, Pope Benedict XVI has appointed Father Rogath Kimaryo to be Apostolic Administrator of the Same Catholic diocese until the diocese gets a new bishop.

Father Kimaryo, who was until recently the parish priest of Kipawa Parish in Dar es Salaam will be “authorised” during Mass at Same Cathedral Church, to be presided over by Cardinal Polycarp Pengo.

Without elaborating, the Vatican Apostolic Nuncio to Tanzania Archbishop Joseph Chennoth said that Bishop Koda has now been ‘advised to take time for rest, reflection and personal study.’

“We have advised him to leave the Diocese, and Father Kimaryo will lead the See for a short while, until the Holy Father announces (the appointment of) a new bishop,” he said.

Pope John Paul II nominated Koda as the new bishop of Same in September 1999.

Father Kimaryo, who is a member of the Holy Ghost Fathers’ congregation, holds a doctorate in Law, from the Rome-based Pontifical Gregorian University.

An Apostolic Administrator in the Roman Catholic Church is a prelate appointed by the Pope to serve as the ordinary.


Padri Wilbrod Slaa

Haiwezi kuwa Kama ni conclusion ya kinachowapata mapadri wanaoshindwa nadhiri zao ...lakini historian iko Wazi kote alikopita alifanya kazi kwa mafanikio makubwa ...lakini mwisho anaondoka kwa sababu ambazo hazieleweki

alikuwa padri kwa mafanikio makubwa hadi kupata cheo kikubwa Kabisa Chennye mamlaka cha Katibu Mkuu wa TEC ...mtendaji Mkuu wa Kanisa nchini Tanzania ....Kabila ya kuanguka dhambini ...na kujikuta anaondolewa kwenye cheo Chake ...Kanisa bado halikukata Tamaa likampeleka mbulu na akawa Kama Vicar Au Monsineor ..masaidizi mkuu wa ASKOFU mbulu ....nako yeye mwenyewe anaondoka kugombea ubunge

Akawa Mbunge wa karatu kwa mafanikio makubwa .....baadaye Katibu Mkuu kwa mafanikio makubwa ....mgombea Urais na kipenzi cha wote kwa mafanikio makubwa .......lakini pia nako chadema akaondoka pamoja na watanzania wote wanaomtakia mema ..wazazi ..Mzazi mwenzake..ndugu zake na watoto wanaompenda ....pengine aliyeunga Au kuchagiza kuondoka huko ni Mmoja Au wachache wanaonufaika ...na kumtumia KATIKA uzee wake ...


Hatujui kama naye atakuwa Mtu wa mahangaiko ....View attachment 284502View attachment 284506View attachment 284507View attachment 284508View attachment 284510View attachment 284510

Acha uongo no research no right to speak Askofu Lukanima alizikwa ndani ya kanisa la parokia ya kagunguli nilikuwepo mazishini. Waliohudhuria pia in Pius Msekwa. Mkuu wa
Mkoa Wa Geita; mkuu Wa wilaya ya ukerewe; Gertrude Mongella; Maaskofu woote; Prof. Migiro na wengineo. Acha kupotosha watu kama huna cha kuandika kakojoe ulale.
 
it is a matter of time...Dr. SLaa hakika ataanguka..ni kama hadithi ya mwana mpotevu...kiapo cha upadri ni kiapo kilichotokana na maisha ya muda mrefu ya kusali na kuombewa ili mtu aweze kuyafikia maamuzi hayo...wengi hamjui..furaha ya watu kuwa kasisi wa kanisa katolika hasa jwa waumini husiki ni ya aina yake. pia sononeko la kuasi upadri ni la aina yake. Sononeko ni sawa na laana ambayo mhusika asipotubu basi laana hii inampata pasi yeye kujitambua...swali...je Dr Slaa aliwahi kutubu? Bila shaka amekengeuka na kujali ya Dunia..kwa maana nyingine ametwaliwa na ulimwengu wa majivuno...sijui..tuzidi kumwombea apate kuyatambua haya kwa kufunguliwa katika kifungo cha anasa za ulimwengu huu...amshikwa na gilba ya uasi chini ya mwavilivu wa ndoa yenye sononenko la alichwa na kanisa lililodhalilishwa!
 
Don't say that is not true ., because also on your side you have not established the the Un-disputed facts of your conclusions pre-emptying ....
My case locations based on roundom analysis is Tanzania and partly Africa ......the life style and culture in Africa as well as social economic status are different......., so basically give us more findings on Tanzania ...., when you go into details I have established two catholic priests who have gone into politics ....one failed miserably ...and shameful ....and the political fate of the later ...is not yet clear on which legacy he will leave behind ...and is that linked to the priest hood vows ???

The environment and socio economic standard of those renouncing priesthood is very much different ..the challenges facing church in America and Europe are different ..while in Africa those leaving will marry in EUrope that can be different in terms of sexual orientation

If you compare to the general population, the retired priests live successful and productive lives. The only thing you make this comparison is you or the society has higher expectations of them. I suggest you should curb your expectations.
 
Back
Top Bottom