Nini sasa??Wabishi!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nyie acheni upuuzi huu!Eti mbege siyo MATAPUTAPU Nini??acheni nyie wachaga kujikweza kama hamnywi mataputapu!
 
Mbege ni pombe ya heshima wewe.
Hainywewi kwa kukosa pesa au kukosa pombe nyingine karibu. Mataputapu ni yale watu wanakunywa kwa kukosa pesa ya kunywa pombe za ghali.
 
Mbege ni pombe ya heshima wewe.
Hainywewi kwa kukosa pesa au kukosa pombe nyingine karibu. Mataputapu ni yale watu wanakunywa kwa kukosa pesa ya kunywa pombe za ghali.
Pombe yote inayotengenezwa kwa nafaka kama,mtama,mahindi,ulezi,ndizi zote hizo ni mataputapu!kama chibuku inayotengenezwa kiwandani kwa umakini na taratibu za kiafya bado nayo ni mataputapu itakuwa hiyo mbege inayotengenezwa migombani isiitwe mataputapu??Lizzy anagalia vyote hivyo ni taps!!
 
Beer yenyewe inatengenezwa kwa maji na maziwa ehhhhh?
 
Pombe yote inayotengenezwa kwa nafaka kama,mtama,mahindi,ulezi,ndizi zote hizo ni mataputapu!kama chibuku inayotengenezwa kiwandani kwa umakini na taratibu za kiafya bado nayo ni mataputapu itakuwa hiyo mbege inayotengenezwa migombani isiitwe mataputapu??Lizzy anagalia vyote hivyo ni taps!!

Ngano ilikoma lini kuwa nafaka?
 
Pombe yote inayotengenezwa kwa nafaka kama,mtama,mahindi,ulezi,ndizi zote hizo ni mataputapu!kama chibuku inayotengenezwa kiwandani kwa umakini na taratibu za kiafya bado nayo ni mataputapu itakuwa hiyo mbege inayotengenezwa migombani isiitwe

mataputapu??Lizzy anagalia vyote hivyo ni taps!!
Mbona via inatemgenezwa na nafaka?
 
Mbege ni mataputapu bwana.Kwanza inavotengenzwa,inapouziwa,vifaa vya kunywea na haina kiwango rasmi cha kilevi.Kwa hiyo pombe zote ambazo hazina kiwango cha KILEVI na pia hazina kiwango cha TBS ni MATAPUTAPU ikiwemo na MBEGGE..SAWA AKINA MEKKU EEEH
 
Mbege ni mataputapu bwana.Kwanza inavotengenzwa,inapouziwa,vifaa vya kunywea na haina kiwango rasmi cha kilevi.Kwa hiyo pombe zote ambazo hazina kiwango cha KILEVI na pia hazina kiwango cha TBS ni MATAPUTAPU ikiwemo na MBEGGE..SAWA AKINA MEKKU EEEH[/QUOTE]

Jamaa wabishi kweli kweli,....gonna are the dayz we....................at Mti Safi(Umbwe ss).....kwa kindi
 
Lakini kweli mimi naelekea kukubaliana na mwenye mada,
mbona hata hiyo mbeke haina tbs, tena ukinywa unaofia kupata
marazi ya kujisaidia bila utaratibu maalum.
nayo ni matapu tapu tu bana hakuna namna ya kukataa hili.
 
Banana wine, vladmir, viroba (pombe zote za sachets) ndio nazichukulia kua mataps kuliko Mbege.
Na siyo Wachagga tu ndio wanakunywa Mbege.
Arusha siku hizi inauzwa mpaka kwenye respectable pubs.
Mbege ni bonge moja la tiba ya hangover.
 
We sema mbege ni mataputapu, wenzako wanakunywa wanajenga vitambi
 
pombe zote zimetengenezwa na MATAPUTAPU sema tu imepitia na kutengenezwa na mashine ya mzungu
 
Back
Top Bottom