Hao uliowataja ni wake za rais gani?
Kila raia ana haki ya
kikatiba ya kisiasa isipokuwa wanaozuiwa na sheria kama vyombo vya
ulinzi na usalama.Hata nchi zilizoendelea hayo yapo kwani Clinton
alipostaafu uraisi HILARY mke wake alishika nafasi ya juu
kisiasa
Hata mke wa obama ni katibu mwenezi wa democrats acheni ushiranga
Sina hakika kama katiba ilikuwa consulted kama ya kufikia haya maamuzi. Lakini hata kama katiba yetu iliyopitwa na wakati ina mwanya huo mbovu sidhani kama ni sahihi kwa first lady kuwa mwanasiasa. Kwa mawazo yangu nadhani ni busara first lady abaki kuwa first lady. Huyu wa sasa c first lady tena kwangu maana ananichanganya kweli mpaka najiuliza hivi nini alichokosa mpaka kujichafua kiasi hicho. Actually nikipata taarifa kwamba wife ameenda kwenye mkutano unaohutubiwa na first lady huyu wa sasa, akirudi atakutana na talaka inamsubiri.
Hata mke wa obama ni katibu mwenezi wa democrats acheni ushiranga
jiulize na hawa.josephine mushumbuzi na rozimery kamili slaa
Swali ni kwa nini u-first lady ndio umpe haki ya kugombania. Alikuwa wapi kabla ya hapo? Ni kiherehere tu!kwani ukiwa first lady haki yako ya kugombea inakwisha?
Kwani kuna siasa zisizo kuwa za ushindani?. Halafu nini sababu ya mme wa Rais kuamua kuingia kwenye siasa.Salaam wana Janvi.. Ni kama swali lakini lenye utangulizi mdogo wa nini sababu za mke wa Rais kuamua kujiunga na siasa za ushindani.
Nani huyo, kwa sababu kunanzaidi ya nchi 195 duniani.Nadhani kama sina kumbukumbu nzuri anaweza akawa mke wa kwanza (Naomba mnirekebishe wenye kumbukumbu sahihi) kuingia katika siasa na kupata uwakilishi wa ngazi alionayo sasa.
Huku ni kuwasimbua wadau, watajaziaje kwenye pale maelezo yasiyotosheleza maana.Kwa kuanzisha mada mojawapo ya sababu inawezekana ikawa ni umri unamruhusu kurudi kazini baada ya Mzee kustaafu ivyo ikawa kama kurudi nyuma kimaendeleo, au kupata Ubunge ili aweze kuwa na ajira mpya, na mengine mengi mnaweza kujazia wadau
Mke wa rais hakatazwi kujishughulisha na siasa. Wapo watu wameoana kwa kukutana kwenye shughuli za kisiasa wakiwa wanasiasa, haina maana mmoja akiwa rais mwingine aache siasa. (ukienda U.S kuna Clintons). Ni uamuzi wa muhusika mwenyewe ameamua kufanya nini. Kila mmoja anaangalia ni kitu gani ataweza kufanya.Salaam wana Janvi.. Ni kama swali lakini lenye utangulizi mdogo wa nini sababu za mke wa Rais kuamua kujiunga na siasa za ushindani. Nadhani kama sina kumbukumbu nzuri anaweza akawa mke wa kwanza (Naomba mnirekebishe wenye kumbukumbu sahihi) kuingia katika siasa na kupata uwakilishi wa ngazi alionayo sasa. Kwa kuanzisha mada mojawapo ya sababu inawezekana ikawa ni umri unamruhusu kurudi kazini baada ya Mzee kustaafu ivyo ikawa kama kurudi nyuma kimaendeleo, au kupata Ubunge ili aweze kuwa na ajira mpya, na mengine mengi mnaweza kujazia wadau
Mke wa rais hakatazwi kujishughulisha na siasa. Wapo watu wameoana kwa kukutana kwenye shughuli za kisiasa wakiwa wanasiasa, haina maana mmoja akiwa rais mwingine aache siasa. (ukienda U.S kuna Clintons). Ni uamuzi wa muhusika mwenyewe ameamua kufanya nini. Kila mmoja anaangalia ni kitu gani ataweza kufanya.
Mfano mke wa rais wa kwanza hakuamua kwenda front kwa sababu kadhaa, mojawapo hawezi siasa
Mke maarufu wa rais wa pili hakuona haja ya kupiga makelele majukwaani, yeye alikuwa downlow na biashara zake za nguvu, chini ya muamvuli wa serikali.
Mke wa rais wa tatu nadhani anafahamika pia na shughuli zake.
Mke wa rais wa nne anaona anaiweza siasa hivyo ameamua ku- practice.
Mkuu huoni kama unamdhalilisha mama wa watu, huu ni ukosefu wa adabu.unakua kama huna mama bana, hata kama ni chuki za kisiasa basi hatujafika huko. Halafu CDM mkiitwa wahuni mnakua wakali.ni muda wake utakuwa wa kujirusha na akina jery slaa maana mama anapenda vijana vasco da gama hamtoshelezi ni kiguu na njia
Nimeipenda hii. Shida iliyopo hapa ni kuwa mbwa mwenyewe ni kimeo kuliko hata huyo boss wake. Kwa sasa nadhani amepagawa hajui hata mwisho na mpaka wa majukumu yake. Ni tatizo kubwa sana. Nchi inayumbishwa na umbumbu wa watu wachache."mbwa wa boss nae ni boss" mwendelezo wa ufisadi tu......!!!!!!!
Nimeipenda hii. Shida iliyopo hapa ni kuwa mbwa mwenyewe ni kimeo kuliko hata huyo boss wake. Kwa sasa nadhani amepagawa hajui hata mwisho na mpaka wa majukumu yake. Ni tatizo kubwa sana. Nchi inayumbishwa na umbumbu wa watu wachache.