Nini sababu za Mke wa Rais kuingia katika Siasa?

Nini sababu za Mke wa Rais kuingia katika Siasa?

Status
Not open for further replies.
tuanze na hili..................kwanini josephine mushumbusi anatumbua rasilimali za chama bila wasiwasi...yeye ni nani??????????
 
kumbe amegombea, nlidhani amepewa kama alivopewa josephine, kile cheo cha utaalamu wa mifumo.
 
Sina hakika kama katiba ilikuwa consulted kama ya kufikia haya maamuzi. Lakini hata kama katiba yetu iliyopitwa na wakati ina mwanya huo mbovu sidhani kama ni sahihi kwa first lady kuwa mwanasiasa. Kwa mawazo yangu nadhani ni busara first lady abaki kuwa first lady. Huyu wa sasa c first lady tena kwangu maana ananichanganya kweli mpaka najiuliza hivi nini alichokosa mpaka kujichafua kiasi hicho. Actually nikipata taarifa kwamba wife ameenda kwenye mkutano unaohutubiwa na first lady huyu wa sasa, akirudi atakutana na talaka inamsubiri.

Kaka punguza hasira ila nasikia ana mpango wa kugombea ubunge kwa hiyo anatumia fursa hii kujijenga kisiasa
 
ni muda wake utakuwa wa kujirusha na akina jery slaa maana mama anapenda vijana vasco da gama hamtoshelezi ni kiguu na njia
Tunaomba Dr.Slaa atoe maoni yake juu ya haya maneno ya huyu kijana wa chadema
 
Jicho la tatu. Mungu akurehemu kwa mawazo na mane no yako.

Dr. vijana hawa siku hizi hawana hofu ya Mungu. Ni kwa rehema ya Mungu tu wataongoka. Short of that ndo hivi kuandika na kusema mambo bila information ya kutosha. Mwisho wa yote ni upotoshaji wa jamii.
 
Jicho la tatu. Mungu akurehemu kwa mawazo na mane no yako.
Mkuu Dr. W. Slaa, sorry I doubt the motive behind baraka hizi!. Kwa maoni yangu, nadhani mtu huyu hakuhitaji rehema bali kusamehewa kwa maana hajui atendalo!. Hata YEYE aliwasamehe wale waliomkosea kwa maana hawakujua watendalo!.
Pasco.
 
Tusimuonee wivu first lady, mbona mke wa obama anafanya kazi nyingi za kijamii na tunamuona? Sisi watu weusi tuna wivu gani huu mbaya ivi?
 
Kila raia ana haki ya kikatiba ya kisiasa isipokuwa wanaozuiwa na sheria kama vyombo vya ulinzi na usalama.Hata nchi zilizoendelea hayo yapo kwani Clinton alipostaafu uraisi HILARY mke wake alishika nafasi ya juu kisiasa


Clinton alipostaafu mke wake hakuwa first lady, bali," aliyekuwa first lady".{The former first lady} ,Mke wa rais akiwa first lady anakuwa kwa ajili ya wananchi wote tena siyo kichama, bali kiserekali. Huyu wetu siyo first lady tena kwa kuwa amechagua kuwa kiongozi wa juu wa chama kimoja ambapo hii ni nchi ya vyama vingi. Hawezi kutenda haki kwa mtu asiye wa chama chake. Kwa mantiki hiyo, Tanzania hatuna First Lady. Habari ndio hiyo!!!
 
Katika siasa hasa kwa tabaka tawala ni kawaida sana,nenda kwa Museveni halafu utaacha kupiga kelele,H.Clinton angeanza siasa eti baada ya kustaafu mumewe asingekua na power aliyokuwa nayo.
 
Tamaa tu imewazidi badala ya kukaa kufanya kazi za ufirst lady naye mpaka ajiingize kwenye siasa ili akafanye ufisadi.
 
Jicho la tatu. Mungu akurehemu kwa mawazo na mane no yako.
Dr. watu kama hawa hakuna haja ya wewe kujibizana nao, wasikupotezee muda wako. Humu JF kuna timu kubwa ya M4C ina deal nao na itaendelea ku deal nao kisawasawa, mpaka kieleweke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom