cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,794
- 189,240
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanakunjika vizuri yaan wanachambuka vizuri na wengine wanajua kupeleka moto hadi unawaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanakunjika vizuri yaan wanachambuka vizuri na wengine wanajua kupeleka moto hadi unawaka
Chochea moto mkalipuke woteKuna mmama wa 50's ananisalimia mambo, soon atapata anacho tafuta.
Endelea kujidanganya mpaka pale yatakapokukuta.watoto wa kike miaka chini ya 26 k zao zinabana
Alooovijana wanapeleka moto mkali kuliko wazee ndio maana majimama yanawapenda vijana. Kijana anapiga goli za kutosha mpaka jimama linasema basi imetosha
Wewe ni lishangaziSema mama acha dharau.
Ni vile baba zenu wana bp sijui sukari sijui nini tena, perfomance imekwisha.
Don't judge me I'm not among.
HahahaSababu inayowafanya MijiMama kupendelea kudate na Vijana wadogo wa kiume ndiyo sababu hiyo hiyo inayowafanya mabinti wadogo kupenda kutembea na Wazee umri wa Baba zao.
Unataka kujua Jibu?
Jibu ni Pesa, Vijana wote wanapenda kudate na mtu atakayeweza kumtimizia mahitaji yake ya Kiuchumi.
Una date na Mama mtu mzima kisa anakupa hela (Mtoto wa Kiume una hongwa)
Una date na MBaba mtu mzima kisa anakununulia iphone/ analipa Kodi n.k(Binti unahongwa).
Sisi tuliosoma zamani tunasema Mzani ume- balance (Equilibrium equation 😜)