Damu ikichemka si itaunguza...?!Damu zao zinachemka
Damu ikichemka si itaunguza...?!Damu zao zinachemka
Wakamiaji sioDamu zao zinachemka
Ila si wanasema kuna imepangikaSiwez kula jimama mimi.. ila minyama imejikunja kunja tumboni bonge la tumboo mitako ma mipaja imelegea legea na vishimo shimo..limgongo limejijaza mabega yamenenepeana mpaka yameungana ..ahhhh mi sifanyi ushenzi huo..
[emoji2960]watoto wa kike miaka chini ya 26 k zao zinabana
Inasemekana ni maokoto hasa ya hawa retired[emoji23]Kwani sababu ya wababa watu wazima kupenda wasichana wadogo ni nini hasa?
Mkuyenge imaraSiku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha mzee nyumbani [emoji2381].
Nini shida wakubwa?
Analiwa sana huyo usimuone hivyo 🤣Nadhani Mamndenyi kashatoa jibu huko juu
Nasikia habari yao si haba,kuna genge flani hivi nilpta nikasikia wanasemaVijana wanakunjika vizuri yaan wanachambuka vizuri na wengine wanajua kupeleka moto hadi unawaka
Nimecheka mno! Kwani wamama wote wapo hivyo?Siwez kula jimama mimi.. ila minyama imejikunja kunja tumboni bonge la tumboo mitako ma mipaja imelegea legea na vishimo shimo..limgongo limejijaza mabega yamenenepeana mpaka yameungana ..ahhhh mi sifanyi ushenzi huo..
Asilimia kubwa sanaaa wako hiv chief..kuna watu wana mioyo ya ujasiri sanaNimecheka mno! Kwani wamama wote wapo hivyo?
Siwez kula jimama mimi.. ile minyama imejikunja kunja tumboni bonge la tumboo mitako na mipaja imelegea legea na vishimo shimo..limgongo limejijaza mabega yamenenepeana mpaka yameungana ..ahhhh mi sifanyi ushenzi huo..
Ahahahaha....Kwa maelezo haya tu tayari ushakula mijimama tena mibongebonge,hakika wewe ni kijana wa hovyo.
Ahahahaha....
Hapana mkuu.. mbona hizi ni features obvious sana mkuu hata bila kuwala ziko waz sana
vijana wanapeleka moto mkali kuliko wazee ndio maana majimama yanawapenda vijana. Kijana anapiga goli za kutosha mpaka jimama linasema basi imetoshaSiku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha mzee nyumbani [emoji2381].
Nini shida wakubwa?