Nini sababu za mijimama kupendelea vijana?

Nijuavyo mimi....

Mosi, wamama wengi au wanawake wengi aged wanapenda kutoka na vijana wadogo maana ni rahisi kupata kijana ambae hajaoa, wakubwa wenzao wengi wanakua katika ndoa, kwaio mwanamama anaetaka ilimradi awepo kwa ndoa, vijana wadogo ni kimbilio, rejea watu maarufu wengi...

Pili, vijana wengi wa umri wa 20 up to 30 wapo kujitafuta kimaisha, kwahiyo wanakua submissive, Kuna kanidhamu fulani kanapatikana hapa, wamama tukishakuaga na pesa mbili tatu hua ni changamoto , vijana ni suluhisho....

Tatu, hii itaenda kwa wale wakinamama both married and unmarried, vijana dam inachemka kwaio kwenye swala la kupeleka moto wapo njema, when it comes to sex they mean it....

Last, ni sababu za kimaumbile, inasemekana kua wakinamama anavyozidi kukua ndivyo ham ya ngono inakua kubwa, mmama above 35 akiwa na mwanaume wa 45 and above, asee ni busara ya huyo mama na mapenzi kumuheshimu huyo baba, wachache wanakua satisfied kwa bed, kwaio suluhisho ni vijana wadogo....
I stand to be corrected

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha mzee nyumbani [emoji2381].

Nini shida wakubwa?
Kwani sababu ya wababa watu wazima kupenda wasichana wadogo ni nini hasa?
 
Siku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha mzee nyumbani [emoji2381].

Nini shida wakubwa?
Yana watumikisha yanavyotaka.. kijana hawezi kuwa na sauti hapo
 
Hata sisi wasichana tunapenda vijana wenzetu ni vile tu kuna muda vijana hawana hela, Kila msichana mwenye mbaba wake ana kijana wake pia. Muulizeni cute wife atawahadithia vizuri.
 
Sema mama acha dharau.

Ni vile baba zenu wana bp sijui sukari sijui nini tena, perfomance imekwisha.

Don't judge me I'm not among.
Je kile kiapo umesahau "kwenye shida na Raha"kwa hiyo akiumwa uwezo ukashuka wampotezeya?
 
Nijuavyo mimi....

Mosi, wamama wengi au wanawake wengi aged wanapenda kutoka na vijana wadogo maana ni rahisi kupata kijana ambae hajaoa, wakubwa wenzao wengi wanakua katika ndoa, kwaio mwanamama anaetaka ilimradi awepo kwa ndoa, vijana wadogo ni kimbilio, rejea watu maarufu wengi...

Pili, vijana wengi wa umri wa 20 up to 30 wapo kujitafuta kimaisha, kwahiyo wanakua submissive, Kuna kanidhamu fulani kanapatikana hapa, wamama tukishakuaga na pesa mbili tatu hua ni changamoto , vijana ni suluhisho....

Tatu, hii itaenda kwa wale wakinamama both married and unmarried, vijana dam inachemka kwaio kwenye swala la kupeleka moto wapo njema, when it comes to sex they mean it....

Last, ni sababu za kimaumbile, inasemekana kua wakinamama anavyozidi kukua ndivyo ham ya ngono inakua kubwa, mmama above 35 akiwa na mwanaume wa 45 and above, asee ni busara ya huyo mama na mapenzi kumuheshimu huyo baba, wachache wanakua satisfied kwa bed, kwaio suluhisho ni vijana wadogo....
I stand to be corrected

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Da hatar
 
Back
Top Bottom