PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?

Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa, na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Wamempleka huko ili akatikise matako pamoja na akina shilole na nandy
 
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?

Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa, na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Sina uhakika ila uhusiano wa bashiti na mfuga chawa waweza kuwa hadi ndani hasa kwenye agecya mishangazi
 
Kabla ya uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri lililotangazwa leo, Kuna uvumi ulizagaa mitandaoni kuwa, Bashite anaandaliwa cheo kikubwa sana.

Kama siyo uwaziri Mkuu basi atapewa Uwaziri wa mambo ya ndani ama Wizara yoyote nyeti?

Imekuwaje leo kufichwa kwenye usaidizi wa Waziri katika wizara isiyoangaziwa sana macho?

Tuseme mitandao imemharibia, au ni mwendelezo ule ule wa kuifuta legacy ya Magufuli kutoka kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom