Neem tree
Member
- Feb 24, 2014
- 60
- 25
Nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniuliza ni nini sababu ya kupata ukurutu kwenye mfuko wa korodani halafu zinamuwasha pindi zinapopata joto na anasema kipinidi anapooga na akizikausha kwa taulo pia zinamuuma.
Kwa ushauri wangu nimemwambia aende kituo cha afya ananiambia anaogopa kuonesha sehemu zake za siri kwa tabibu wetu wa kijiji.
Nawasilisha.
Kwa ushauri wangu nimemwambia aende kituo cha afya ananiambia anaogopa kuonesha sehemu zake za siri kwa tabibu wetu wa kijiji.
Nawasilisha.