Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

Njia nzuri ya kumdhibiti jambazi alie kuwahi ni kutulia mali inatafutwa ila roho unayo moja, na ukimuwahi wewe usiwe na huruma ikiwezekana mkate Kate vipande vidogo vidogo size nyama ya sambusa
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao vile.

Juzi tena kuna jirani mchana ametoka amefunga mlango pamoja na grill jamaa wakaenda wakafungua kama kwao na kubeba kila kitu walichotamani kubeba.

Usiku wa leo jamaa wameenda tena mtaa wa jirani wakafungua mlango bila kuvunja wakabeba Tv ,simu pamoja na pesa japo kwa maelezo yake anahisi walimpulizia dawa za kulala .

Hatua ya kwanza tumechukua ni kuaza kulala na majaba au mabeseni ya maji chumbani kwani inasemekana hata wakikupulizia dawa ya kulala haifanyi kazi (hatuna uhakika).
Ila kinachotupa shida wanawezaje kufungua milango na magrill bila kufunja wanatumia njia gani na njia gani ya kuweza kudhibiti wizi huu wa majumbani?

Ni maeneo gani Kaka?
 
Pole sana Uncle.
Hawa shwaini waliwaingilia wapangaji wangu last Sunday, wameiba simu ila Mungu wa ajabu mmoja akadhibitiwa ndani ya geti pamoja na kuwaumiza vijana wangu. Nilimpambania asiuwawe,raia nusra wanitoe uhai, hakuliona jua la asubuhi,kaenda mbinguni bila petroli.
 
Nilimpoteza jamaa yangu kwa style hiyo Mkuu,

Sitaki Kukumbuka Ile siku, Bado lile tukio linanitesa Hadi kesho.

TooBad .
Mungu ampumzishe rafiki huko aliko. Alikuwa mtu mwema mno.
mbaya sana hii usiombe yakukute,kuna siku rafiki yangu pia alikutwa na hiyo issue mpk namtoa pale ashukuru mungu ila alikua tayari amebagazwa haswa.
 
Misigiri ndani ndani huku
IMG_20220527_080240.jpg
 
Nilimpoteza jamaa yangu kwa style hiyo Mkuu,

Sitaki Kukumbuka Ile siku, Bado lile tukio linanitesa Hadi kesho.

TooBad .
Mungu ampumzishe rafiki huko aliko. Alikuwa mtu mwema mno.
Pole Sana. Ilikuwaje Mkuu....
 
Mlishangilia jpm kufa Sasa yawakuta , tulilala milango wazi hapa dar , jamaa alikuwa noma sana Kwa wezi , majambazi hadi wazee wa ngada

USSR
Labda mwenzetu unaishi masaki ndio maana mlikuwa mnalala milango wazi au unaishi ushirombo dar hujawah kuishi unatuchora tu

Sisi wa uswazi lazima tujikoki anytime na si uswazi tu hata kata zinazoendelea kama goba nk kulikuwa hatari
 
Back
Top Bottom