Nini mtazamo wako kuhusu Clouds FM kuiga ubunifu wa E-FM?

Clouds wamejichimbia wenyewe kaburi la kibiashara kwa kujifanya makada wa ccm sasa wacha waisome namba na watatangaza waganga wa mitishamba tu
Fursa tu,hata wewe ungeletewa biashara ya kuitangaza ccm,usingeacha
Mlisema Diamond kajimaliza kwa kupanda jukwaa la ccm,ndio kwanza anazidi kupaa
 
Sisi wa mikoani hatuipati EFM.So,kila wafanyalo clouds tunaona ni ubunifu wao tu
 
Back
Top Bottom