Nini mtazamo wako katika hii picha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini mtazamo wako katika hii picha?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Oct 31, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jaribu kuangalia hii picha kwa makini kisha toa maoni yako.

  [​IMG]
   
 2. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaelekea Kama Kamati Mojawapo ya Bunge, wajumbe wanapitia Makabrasha lakini HAYAELEWEKI !!!
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wanapopewa makablasha ya kusoma,awayasomi.wakuwa busy kuyasoma wakati wa kikao.Pili utabebe makaratasi mpaka lini
   
 4. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Naona waheshimiwa wanamuenzi mwalimu,ni mmoja tu analeta mambo ya kimagharibi kwa kutumia Laptop..Jamaa wanajaribu kutuonesha kuwa hata wao wanahitaji msaada wa vitendea kazi maana kuandika kwa peni sio kitu kidogo...Muone yule wa kwanza pale katikati yule alienyoa..,anaazima peni maskiniiiiii imegoma ya kwake alikuwa anatumia zile za ofa ya dawa ya meno..Khaaaa yule mwingine imevuja alisahau kufunika ona imelowesha documents zote munguuuu weee tuone sie wabongo......
   
 5. Ansah Miles

  Ansah Miles JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mheshimiwa Tundu Lissu hayuko nao kwenye kikao ....yeye yuko na yake kwenye Laptop
   
 6. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu nigeuze picha niangalie unaeza kuta yupo feisibuuku
   
 8. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Lissu kama mwezeshaji hapo

  kawapa assignment, au anawasimamia kila mmoja atengeneze nondo
   
 9. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Indume Yene, kama ulikuwa unatafuta mshindi wa interpretation wa picha yako, umempata - ni "Bei Mbaya"
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hiyo uliyoweka hapo has nothing to do with that kikao but huo ni mtazamo wako, unakubalika.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wengine wanasoma mapafleti huyu wapekeyake liko jf halafu jukwaa la kikubwa hata alivyokaa tu..
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sioni kitu!
   
 13. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Maendeleo ya kweli yapo upinzani.
   
 14. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kipofu wewe.
   
 15. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Lissu anacheza game wakati wengine wako busy na paper work!

  ha ha ha haaaa (joking banaa)!
   
 16. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Wamebishana sana mpaka lisu amejitenga na kuamua kuchec facebook, ooh, no, anachec JF, hapana, anachec porn
   
 17. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona wamepewa nyaraka wazipitie na kurekodi baadhi ya mambo sasa kuna ambao hawajui kutumia computer wanaandika kwa kutumia peni na karatasi mzee Tundulisu yupo kisasa zaidi anatumia laptop kuhifadhi documents
   
 18. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona sijaelewa
   
Loading...