Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Azimio la Arusha halikufanikiwa kwa sababu ya Psychplogical make-up ya Mtanzania. Watu wanaopata uongozi kwa bahati mbaya walikua kimwili lakini kuna Psycho-analytic factors fulani katika makuzi yao zilidumaa--au hata niseme zimedumaa.
Gia automatic katika akili ya binadamu ambayo inamfanya individual KUTII zaidi maitaji ya ID, na kuanza kutii Ego, na Baadaye Super-Ego, gia hii ina matatizo katika Mila na desturi zinazozaa Watanzania wanaopata uongozi.
Mtu anayetii zaidi Id au Ego yake ni mbinfsi wa kupindukia. Tafufa neno narcissism au selfishness kwenye net ujue nasema nini kama tatizo letu katika viongozi tulio nao. Hata ukirudisha Azimio la Arusha leo. Yale ni maandiko tu. Halitafanya kitu. Narcissist kila kitu anachokitazama mbele yake anakitizama kwa mawani yaliyoandikiwa MIMI. Ukitaka kujua mtizamo huu vizuri mtizame mtoto ambaye bado hajasikia mafundisho yanayosema watu wengine ni muhimu pia: Mpe kitu leo, au mpe nafasi ya kumwezesha kumiliki kitu kizuri--toy, chakula, anything. five seconds later ukimwomba ataficha mgongoni kwake chake peke yake. Hapa watu wanakuwa na midevu kabisa hata na wajukuu lakini kisaikolojia hawakugraduate kutoka Ngazi ya Id na Ego. We have a very serious cultural problem hapa. Na tatizo lenyewe ni Psychological. Taifa linaitaji nut cracker kulinyoosha. Ukishoot narcissit wawili watatu wengine wataanza kuogopa.
Kuna kitu kiliitwa Marshall Plan kuisaidia Ulaya baada ya vita kuu ya Pili ya Duniani kwa sababu uchumi na miundombinu yote iliharibiwa na vita ile. Marekani waliwahurumia ndugu zao wa damu kwenye eneo lile baada vita na kuanza kuwajenga upya. Ulaya ilijirudi katika hali yake ya kawaida kwa msaada ule wa mamilioni na fedha za msaada kutoka Marekani. In less than 10 years chumi za ulaya zilipona.
Tanzania nimepewa mabilioni ya dola na mataifa ya Ulaya, Urusi, Uchina, Marekani yenyewe. Pesa hizi zimekuwa kana zinatupwa chooni vile. Why? Psychological make-up ya watu wanaomanage fedha hizi haina sifa kuzifanya zikawa za taifa, zikaleta maendeleo. Kutokana na viongozi na watawala wao kuwa manarcissist wanarubuniwa na wageni, individually au collectively, vikampuni vya wageni vinawahonga vihela wakazalishie malaya dodoma na kwingineko. Pesa kubwa zinaondoka na kurudi zilikotoka.
Hili ni aina ya mambo yamaitaji kufikiri kwingi. Watanzania hawana Culture ya kufikiri kwingi. Back to pysychological problems. Tuna tatizo kubwa sana hapa. Kulinyoosha taifa unaitaji nut cracker. Mtu atayeinyoosha hii inchi atakuwa kama Hitler hivi--japo kwa miaka 10 tu. Atayefanya kazi naye ajue anafanya kazi na tyrant, watawaliwa wajue wanafanya kazi na tyrant. ubinafsi-binafsi upewe kichapo cha kutisha nchi itanyooka tu.
Kurudi ama kutokurudi Azimio la Arusha hakuna maana bila ku-address issue ya culture yetu hapa, ambayo kwa kweli inaumwa. Tena inaumwa sana.

Mi nafikiri wanaoisifia IMF na Benki ya dunia wangetutajia angalau nchi zilizoweza kujikwamua kiuchumi kutokana na kufata mapendekezo yao tumekuwa tukizungumzia nchi za asia ambazo miaka ya 60 tulikuwa kiwango kimoja cha uchumi lakini leo hii zina nguvu kubwa za kiuchumi zilitumia mbinu gani lakini kuna nchi kama Libya,Irak na venezuela au China ambazo wamepata mafanikio makubwa kiuchumi je walikopa au kufata masharti ya IMF kwa kifupi azimio la arusha na azimio la irak ni mojawapo ya mikakati mizuri ya kiuchumi duniani wakati Irak walifanikiwa Hugo Chavez siku zote alijisifu mafanikio yake kiuchumi yalitokana na kufata azimio la arusha tunapoudhuria kongamano la jtano tunapaswa kujiuliza pamoja na mambo mazuri ya azimio la arusha kwanini halikufanikiwa