Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

Mchango wa wema kwa sasa unaweza usijulikana, lkn pia lazima muelewa kwamba kila mtu anayo haki ya kuumini siasa katika mulengo anao ona yeye ni sahii bila kupingwa.
Hili linakuja kwakuwa inchi hii ipo kidemocracy.Kwa upande wa wema kwenda Ccm, nimanufaa kwa chama kwakuwa namba imeongezeka, maana yake imepanda. Ifahamike %90 na %91 havilingani. Waelewa wamejua naongea nini.
Pengine huyu wema huenda asiwe pekeyake anawengi wanao mfuata kuelekea alipo.
Kwahiyo kuna kila sababu yakusema kapeleka maslahi kwa chama.
Chamsingi chama chenye mlengo wa pili, nikukaa nakufikiria mbinu mbadala ya kujenga chama kuliko kukaa na kutegemea kupinga kilakitu. Hili halitawapeleka popote, na wala wananchi hawahitaji hilo kwa sasa. Yapo yanayotokea ambayo hata hawahitaji elim kujua ukweli upowapi, wanafaham Vzrtu"
Kifupi upinzani mlipo kwasasa sio panzuri sana.
Tafuteni Lugha moja ndani ya chama chenu na yenye maridhiano ya pamoja alafu wekeni usahihi na uwazi katika kutekeleza misimamo mlio jiwekea.
Otherwise mtazidi kuporomoka mwisho mta ishiwa policy.
 
Duu
Mkuu wewe ni mtabili wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…