Wewe yaonesha ulikuwa unakula kozi wakati mkeo akifukiza papuchi yake.Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya.mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)
Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwa ni watu wengi watakao.upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.
Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.
Udi hufukizwa kunako papuchi yaani.kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiizi.maswali.
Pia huweza kufukizwa hata nguo na.mwili mzima pia kunukia vzr na.kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)
Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo
Zawadi nzuri hio from hubby,hongera...
Inategemea ni udi gani, mengine yananuka vibaya kama nini sijui. Pia kuwa makini unaweza kukaribisha mapepo.utanukia hatari yani kama malaika vile huwenda ikawa sababu ya kumuongezea mumeo ashki ya tendo la ndoa
Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)
Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwani si watu wengi watakao upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.
Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.
Udi hufukizwa kunako papuchi yaani kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiulizi maswali.
Pia huweza kufukizwa hata nguo na mwili mzima pia kunukia vzr na kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)
Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.
kweli kabisaInategemea ni udi gani, mengine yananuka vibaya kama nini sijui. Pia kuwa makini unaweza kukaribisha mapepo.
Ntatafuta tuu hamna namnaKuna vitezo vya kufukizia sasa sijui anavyo?
Naomba umuulize wife anajifukizaje mpaka unaingia ndani ya papuchii???yaan techniquemmmmh we mkali. basi poa sana
Naomba umuulize wife anajifukizaje mpaka unaingia ndani ya papuchii???yaan technique
Maelekezo yawe kwa picha pleaseNaomba umuulize wife anajifukizaje mpaka unaingia ndani ya papuchii???yaan technique
Hahahah... Usahau jamaa, atakuwa ndo huyo kaenda chukua dawa.ndo yule anayefika mapema kileleni au
huyu demu kicheche tuHahahah... Usahau jamaa, atakuwa ndo huyo kaenda chukua dawa.
Unachuchumaa juu ya kijiko /chetezo moshi unaingia.Naomba umuulize wife anajifukizaje mpaka unaingia ndani ya papuchii???yaan technique
Wanasema ukimaliza hedhi ujifukize huko. So I guess unaingia.Ivi inawezekana ukaingia kwa ndanii Au pale kwa juu tuu housegirl
Sijui hili nalo litakukosha? Umejaribu kujiuliza kalijulia wapi hilo la udi kumfanya mwanamke anukie vizuri? Majibu yako mengi ila si vibaya kujihoji pia.Haaaalooooooooo umenikosha
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.
Kubali Udi unamambo mengi mazuri,kwanza harufi yake kwenye nyumba ukifusha,unaweza kufusha kanzu zake kama anavaa kanzu hasa ijumaa kwa ajili ya msikitini,au unaweza kufusha nywele zako akinusaa oooh raha tupu,ukifusha mwili ndio usiseme,ukifusha nguo ndio usiseme,sasa upate na Al Oud ile isio washa kama Misk nyeupe ujitie nyuma ya masikio kidogo,kwenye mapaja nyuma ya mgongo kwa chini kidogo,mengine ni PM ntakupa jinsi ya kufusha ukae vp kwenye chetezo..