Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,367
- 8,331
Acha unafiki wewe, unatumia Simu ya shemeji itakuwa,,,so hujui ilikuwa na MB ngapiNimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.
Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.
Acha unafiki wewe, unatumia Simu ya shemeji itakuwa,,,so hujui ilikuwa na MB ngapi
Hivi internet ya Airtel Huwa inafanya kazi? Sijawahi ona manufaa ya bando za AirtelKwangu halotel ndio mtandao wenye unaafuu kuliko mitandao yote Tz.
2g ya halotel ndio 4g ya tigo.
Airtel ndio konokono kabisa , Voda sijawahi vocha.
Ukweli inaonekana kuna maeneo ufanisi umeshuka na kuna maeneo bado wanaendelea kufanya vizuri, ukiangalia maoni ya wadau wote humu,Mimi nipo hapa dar lakini inazingua mbaya mwanzo ilikua poa siku hizi ni shida
Internet yao ni kero kwakweli kwa sasa tofauti na walipoanza, imekua iko slow sana, kuna mtu aliwahi kuniambia mikoani haisumbui sana tofauti na Dar, lkn juzi hapa nilikua moro(Kilosa,Mvomero na Ulanga) ikawa ina suasua especialy moro mjini inazingua sana. Kama wateja eameongezeka wajipange
Utakuwa mfanyakazi wa Voda.
Halafu bahati mbaya wamekuajiri una mtindio wa ubongo.
Nimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.
Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.
Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
Watumiaji tunapenda vitu bora, isijekuwa walivutia tu wateja kuweka bundle zenye ujazo mzuri kuliko wenzao na kuwa na mtandao unaspeed nzuri lakini taratibu wateja wakiwa wengi na wao wanaanza kiburi kilekile cha mitandao mingine bundle bei mbaya na ujazo hazina(zinapeperuka fasta),
Ni Tanzania tu kila mtu mwizi,( sio madini peke yao,) haiwezekani mb zilezile lakini zikawa na uwezo tofauti kwenye mitandao miwili kwa kazi ileile,
Acha kutetea wezi wee jamaa. Halotel siku hz wamekuwa wahuni na wezi wakubwa wa mb za wateja.acheni upotoshaji hakuna mtandao tz unaoweza kufikia kasi ya Halotel wapo vizur sana na mob zinachelewa kukata tofauti na voda ukinunua tigo ndio kabisa mb hautumii jinsi ilivyo slow