Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

Wote wanaosifia waulize wako maeneo gani. Halotel sehemu za mjini wako vizuri lakini pembezoni kidogo ni hovyo kabisa. Na kwa wale wanazungu mikoa mbalimbali nchi hii hawawezi kusifia upuuzi wa halotel!
ukweli ndio huo yaani kwa town ok ila pembezoni ni shida saaaaaaaana
 
Back
Top Bottom