Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,756
- 2,054
Hahaha kwani hao walioko ng'ambo hizi redio kweli zinawafikia?Mbwembwe tu,"habari ziwafikie
1.Mtoto wa marehemu Prof ........ akiwa Glascow,Scotland
2.Mjukuu wamarehemu injinia ....... akiwa Frankfurt Ujerumani
3.Wafanyakazi wote wa Umoja wa Mataifa,New york Marikani!