Oh samahani kwa ukali.
Watu wanatangaza vifo wakiwa katika hali ya uchungu na kuchanganyikiwa. Kwa watu wasio na mila ya kutangaza, huwa wana fanya vitu vingine. Kwa watu wenye mila hiyo, kukimbia radio one kutangaza ni moja ya njia ya kudumisha mila kwa ajili ya marehemu pamoja na kujifariji mwenyewe.
Ni complex kidogo, ndiyo maana nikasema waache watu wafanye vitu wanayoona ni muhimu kwao
Hata mimi sioni maana yeyeote Yaai wewe unapoteza mda wako kwa kutega sikio lako kubwa kusubiri matangazo ya kifo kwa hiyo kama ktk matangazo hayuko ndugu au rafiki aliekufa ktk matangazo ya kifo utalalamika kwa kupoteza mda? kama sio kwa nini unasikiliza ???
Mbona msg za simu zinasambaa haraka zaidi kuliko simu !!!!!
Ni mbwembwe za Kihaya tu hizo!!!!
Sidhani kama post yangu imebeba maudhui hayo mkuu!!!Umenichekesha sana kwaiyo wahaya ndio wanao tangaza pekee
Matangazo ya vifo yamekuwepo muda mrefu hasa wakati wa rtd wakati namna ya kupeana habari haikuwepo. Katika hali ya sasa ya teknolojia, je wapo wanaotegemea matangazo hayo au hata kusikiliza? Hakuna njia mbadala lazima radio zitumike kwa matangazo hayo?
Akina Mushi bado wanatangaza haya matangazo kupitia Radio 1........!!!
Natafuta kitufe cha like. Hii ni kweli tupu. Huyo mtoto huko Ujerumani anasikiliza radio one? Kazi kweli? Sielewi mtu anatoa Tangazo kwenye redio, ni kwa nia ya dhati kufikisha tangazo au kuna lingine. Na gharama yake kiasi gani?Mbwembwe tu,"habari ziwafikie
1.Mtoto wa marehemu Prof ........ akiwa Glascow,Scotland
2.Mjukuu wamarehemu injinia ....... akiwa Frankfurt Ujerumani
3.Wafanyakazi wote wa Umoja wa Mataifa,New york Marikani!
Mbwembwe tu,"habari ziwafikie
1.Mtoto wa marehemu Prof ........ akiwa Glascow,Scotland
2.Mjukuu wamarehemu injinia ....... akiwa Frankfurt Ujerumani
3.Wafanyakazi wote wa Umoja wa Mataifa,New york Marikani!