Nini maana yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana yake?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tbl, Jul 15, 2011.

 1. tbl

  tbl Senior Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari WanaJF,
  nina rafik yangu {wa kike} alikuwa na mpenziwe.kuna siku jamaa alimpigia simu binti akidai eti yupo nyumba ya kilokole kwa hiyo wasiwasiliane kwa njia yoyote asibip asimtumie message wala asimpigie mambo yakawa hivyo.Siku moja jamaa akampigia binti simu, sasa binti akawa ameweka wimbo wa lofa kama caller tune jamaa alipousikia akamwambia bibie "ina maana unanambia mie lofa,!basi mie nawe uhusiano mwisho leo"na kweli wakaachana hivyo.swali langu, inawezekana sababu kweli ilikuwa wimbo tu?
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hayo mazingira ya kukatazwa kupiga, kutuma sms afu siku anapiga anakutana na lofa sio mchezo.
   
 3. M

  Maengo JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa alikuwa anatafuta sababu tu!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  watoto bana.....
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  kuna vichaa wengi tu hawajapelekwa hosp
   
 6. serio

  serio JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  teheee,.,.maumivu yakizidi muone docta.
   
 7. K

  Kampini Senior Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana alikuwa anatafuta sababu ya kummwaga huyo mtu wake.
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  maachano mengine,mbona ni ya kitoto hivyo.
   
 9. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shida ni kuwa, tangu wanaanza mapenzi yao hawakuwekana wazi kuwa ni temporary relationship. Na hili ni tatizo letu kubwa sisi watanzani, hatupendi kuambiana ukweli. Ndiyo maana hata ifikapo wakati wa kuachana, badala ya kuambiana vizuri tu kuwa tayari tumechokana naomba tuishie hapa, utakuta mtu anategeshea kijisababu cha kijiinga!
   
 10. tbl

  tbl Senior Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ht mie nilifikiria hvo maana sababu hazina kichwa wala miguu
   
Loading...