Mnakosa uzalendo , viongozi serikalini wanatafuta utajiri , viongozi hao ni special kuliko wengine ..Jiuliz tu , unamkubali vip waziri wa elimu ambaye mwanae hasomi shule za serikalin? unamkubali vip waziri wa afya ambaye akiumwa anatibiwa nje .
Kiufupi , hakuna mwanasiasa mzalendo kwa sababu siasa ni janjajanja tu ..Jaribu kuangalia movie moja ya kihindi ya king khan , inaitwa ''jawaan'' hapo utaelewa michezo ya wanasiasa . Hata sehemu wanayoishi viongozi kuna miundombinu bora na huduma bora ..