"Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo
MAANA YA UZALENDO
1. Tafsiri Rahisi
- Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako
2. Mambo Makuu Ya Uzalendo
Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo
Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi
Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi
Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba
Kulipa...
TABIA ZA MTU MZALENDO
Na Joseph Nyoni
Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa.
Zifuatazo ni tabia za mtu mzalendo
1. Analipenda taifa lake na hawi tayari kuliona taifa lake linaingia kwenye shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.