Nini maana ya "Phone Hard Resetting"?

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
315
413
Habari zenu wanajamvi,

moja kwa moja niende kwenye title ya mada
nimekuwa nikisikia hii kitu ya kuhard reset simu ila sijawahi pata ufumbuzi kamili
naomba kwa anayefahamu vizuri hii kitu anisaidie kujibu maswali haya

1. Nini maana ya PHONE HARD RESETTING?
2. Nini kinatokea baada ya kuhard reset simu (what changes)?
3. Vitu gani huwa vinafutika na vipi vinabaki?

Na maelezo mengine yanayohusiana na hard resetting

Nawasilisha.
 
Soft reset - Simu iinajireset all settiing done by user without erasing user contents such as, contacts, Multimedia files na aplications

Hard reset - Refers to Delete all personal files, apps, reset all setting to default, clear caches and all tempo memories and finaly make device as was new
 
so nikihard reset simu mambo yote niliyoweka yanafutika sio
 
Back
Top Bottom