Ndugu, Salam
Umenena vyema, ila naomba niweke kwenye usawa ulio makinika, ni ngumu kuweza kutatua changamoto kama hauna mantiki, mantiki ndiyo inayoamsha hamu ya kuongea au kufanya unachofanya.
Kumbuka katika vitu hivi duniani watu wanaweza kufanya vitu kwa namna mbili tu Mihemko au Mantiki; Hivyo ndio vitu vinawatofautisha kati ya mtu na mtu, jamii ya watu etc.
Hivyo inawezekana wakawa hawana Elimu hizo ulizotaja, lakini mantiki lazima wawe nayo.
Mwanafalsafa anatumia Mantiki za Kimazingira na za matokeo tarajiwa.
Nawasilisha.