Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,423
Mpenda,hekima
Kwa hawa watoto wetu wanaosikiliza nyegezi mkuu????!!!!!!!Hilo somo kuna haja liwe linafundishwa kuanzia sekondari form one..litafanya wanafunzi wajitambue zaidi..
Anajiita mwanafalsafani(mwanafalsafa wa fani) na si fani ingine bali ya muzikiNauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
![]()
kuwa makini siku nyingine .........
Nauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
Acha ujingaHivi ni phylo au philo?
Kamuulize bibi yakeNauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
![]()
Umemsahau na Jason deruloFalsafa imetokana na maneno ya kiyunani Philo na Sophia ambayo kwa pamoja yana maana penda hekima.
Hao uliowataja sio wanafalsafa ila wanasayansi na wengine sijui ni akina nani. Wanafalsafa ni kama akina Plato, Paschal, Nitchze, Augustine, Justin Martyr na zama za leo watu kama William Lane Craig, JP Moreland, n.k.
Muziki gani?huyu ni mwanafalsafa wa muziki
Punguani huyuNauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
![]()
Salam Ndugu,Anajiita tu jina afu hajui maana yake
Kwanini tunasema Mwl Nyerere ni mwanafalsafa,Hivi ni kwa nini tunasema Nyerere ni mwanafalsa? Je vipi Kikwete au Ben Mkapa wao siyo wanafalsafa? Kwa nini? Nisaidieni tafadhali
Huenda anafaa kutokana na mashairi yakeNauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
![]()
Nauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
![]()
kazi kweli kweliFalsafa (kutoka Kigiriki φιλοσοφίαfilosofia = pendo la hekima) nijaribio la kuelewa na kueleza ulimwengu kwa kutumia akili inayofuata hoja za mantiki.Ndugu WanaJamii, nadhani tu wazima sisi ni jambo la kumshukuru manani. Mwenye ujuzi nilikuwa nataka atufafanulie maana ya Philosophy (Falsafa). na vipi mtu awe Philosopher (MwanaFalsafa) kama akina Robin Sharmah, Albert Einstein, Phill Collins, Francis Bacon, Isaac Newton na wengi wengineo.
Nawasilisha wana White House wa JamiiForums.