Nini maana ya neno" Mmbeya"

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Ili uwe mmbeya inatakiwa uwe umefanya au umeongea nini, watu wammbeya wana sifa gani?
 
Ili uwe mmbeya inatakiwa uwe umefanya au umeongea nini, watu wammbeya wana sifa gani?
Umbeya upo wa aina mbili.


  1. Kuna ule wa kutaka kujua mambo mazuri kama vile Udadisi, Utafiti, Uchunguzi, Shani, kusaka habari kwa ajili ya kuelimisha umma.
  2. Na kuna ule wa kutaka kujua mambo ya watu, ili kuwaafanya wajisikie vibaya, kama vile mambo yao ya aibu na vituko, hii inaingia kwenye kundi la Upekuzi, Upekupeku, Ujasusi, na mara nyingi mtu wa kundi ili anakuwa ni mwenye kuongeza mamneno yake, japokuwa analolizungumza ni la kweli lakini ataongeza la kwake (kutia chumvi).
 
mmbeya ni mtu yeyote yule ambaye anatoa habari za kweli pasipo kuulizwa na mtu yeyote.
kama alivyosema mchangiaji aliepita ni kuwa ili habari yake iwe na mvuto ni lazima aongezee
maneno yake ili iwe na mvuto.
 
Imefika wakati kubadili jina la mkoa waseme mtanga uyu au mdsm uyu maana watu wa mbeya mnawakwaza
 
Back
Top Bottom