Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,013
hata wewe ni maiti mtarajiwaWatakuzika sio muda.
hell no, mimi sio mtu wa kufuata ushaur wa watu, ukweli hua naamini sana katika kuifuata akili yangu kwanza, halaf hua s mwingi wa kutaka ushaur kwa watu kwajambo lolote lile nikishaamua nafanya nitafanya nikisema niache hua naacha, circle ya watu wanaonizunguka wakaribu ni ndogo mno mkumbo upi ndugu??Acha kusikiliza maneno ya watu (mji wenye watu wengi usio wajua)na usipokee kila ushauri unaopewa( maembe mabichi), Una melengo uliojiwekea japo hujui namna ya kuyageuza kuwa mafankio(embe dogo mfukoni) ,Jipange uongeze elim ujitofautishe na watu wengi (watu kwenye gari lilojaa) ,Wenye mafanikio (gari ulilopanda) siku zote huwa ni wachache acha kufuata mkumbu.
Mimi sikuzungumzii ww natafsiri ndoto ulioota namtafsiri wa ndotoni sio wewe.unapaswa kujua sio kila ndoto ina ukweli kwenye maisha, unavyojichukulia ww haimaanishi ndivyo ulivyo kwenye macho y watu.Hapo sijakwambia kuhusu ushahihi wa ndoto yako.hell no, mimi sio mtu wa kufuata ushaur wa watu, ukweli hua naamini sana katika kuifuata akili yangu kwanza, halaf hua s mwingi wa kutaka ushaur kwa watu kwajambo lolote lile nikishaamua nafanya nitafanya nikisema niache hua naacha, circle ya watu wanaonizunguka wakaribu ni ndogo mno mkumbo upi ndugu??
Allah! Allah! naona unanichanganya kabisa, so there is me behind this keyboard and there is another one kwenye ndoto who is she?? unamaanisha nn? so huyo wa kwenye ndoto anaishi maisha gan? come slowly nieleweMimi sikuzungumzii ww natafsiri ndoto ulioota namtafsiri wa ndotoni sio wewe.unapaswa kujua sio kila ndoto ina ukweli kwenye maisha, unavyojichukulia ww haimaanishi ndivyo ulivyo kwenye macho y watu.Hapo sijakwambia kuhusu ushahihi wa ndoto yako.
Watakuzika tuhata wewe ni maiti mtarajiwa
sijakataa hata wewe utazikwa kwan utaishi milele dunia ni yako?Watakuzika tu
Pia inaelekea ana unyafunzi hapati mlo kamili oyaaa kula matunda wewe utakufa unyafunziNdoto yako inakutaka ule matunda kwa wingi chelea chelea utakufa kwa utapiamlo! Yaonyesha wewe sio mlaji wa matunda ndio maana yameamua yakufate ndotoni.. ifike mahali uone aibu unakula matunda ukiumwa tu huo ni mwili na sio pagala la manyimio!..
Tena upunguze kunywa pombe unakunywa mpk unaanguka kwenye mashimo ya nyoka ipo siku yatakulalua na mwisho ununue gari unauwezo wa kununua gari uache kuomba lift Hadi ndotoni..
Hiyo ndo tafsiri
Kula matunda wewe una unyafunzisijakataa hata wewe utazikwa kwan utaishi milele dunia ni yako?
wewe una kichaaPia inaelekea ana unyafunzi hapati mlo kamili oyaaa kula matunda wewe utakufa unyafunzi
hahahahaa njoo unipe hayo matundaKula matunda wewe una unyafunzi
Oyaaa kula matunda hasa maembe inaelekea hupati hata choo kunywa maji wewewewe una kichaa
Ambong'oleee apachikeeeUshajua ana mzigo wa nyege.. fanya kumsaidia zipungue
sawa nitafanya hiyoOyaaa kula matunda hasa maembe inaelekea hupati hata choo kunywa maji wewe
Ingia PMhapana