Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 4,625
- 2,000
Nini maana ya msemo " Riziki Mafungu Saba". Wanajukwaa nini maana ya huu msemo?
umetishaFalsafa hii ina maana kwamba mtu ana njia nyingi/kazi nyingi/ deal nyingi/ sehemu nyingi/ watu wengi/ nafasi nyingi nk za kumwezesha kujikumu kimaisha. Kwahiyo umekosa hapa, au kunyimwa na yule, au kushindwa kule jaribu kutafute kwingine au kivingine utafanikiwa sio kung'ang'ania hapo hapo.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us