Nini maana ya maisha?

Kila mtu anaishi kwa sababu zake binafsi. Shida tunaishi maisha ambayo sio halisi inakua ni ngumu sana kujitambua, fanya meditation , angalia mlo wako unaokula, kuwa na upendo , fanya kila kitu kwa kiasi utajipata na utajua sababu ya wewe kuishi kwenye mwili.
 
Back
Top Bottom