Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 20, 2021 #1 Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,765 Reaction score 86,445 Aug 20, 2021 #2 Umesahau na hili kuolea.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,228 Reaction score 89,111 Aug 20, 2021 #3 Wanandoa Wote wafanyakazi.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 20, 2021 #4 1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni 2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao 3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote
1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni 2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao 3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,576 Reaction score 10,923 Aug 20, 2021 #5 Kuoana ni kuelewana Kuoa ni kutafuta inayoendana Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu Lakini kwa tafsiri ya kidunia. Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja.
Kuoana ni kuelewana Kuoa ni kutafuta inayoendana Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu Lakini kwa tafsiri ya kidunia. Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja.
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Aug 20, 2021 #6 Deejay nasmile said: Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA Click to expand... Hakuna kitu kuoana bali kuna "kufunga ndoa" au kufunga pingu za maisha.
Deejay nasmile said: Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA Click to expand... Hakuna kitu kuoana bali kuna "kufunga ndoa" au kufunga pingu za maisha.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #7 KENZY said: Umesahau na hili kuolea. Click to expand... Haha
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #8 Mokaze said: Hakuna kitu kuoana bali kuna "kufunga ndoa" au kufunga pingu za maisha. Click to expand... Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA
Mokaze said: Hakuna kitu kuoana bali kuna "kufunga ndoa" au kufunga pingu za maisha. Click to expand... Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #9 Paroco said: Kuoana ni kuelewana Kuoa ni kutafuta inayoendana Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu Lakini kwa tafsiri ya kidunia. Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja. Click to expand... Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.?
Paroco said: Kuoana ni kuelewana Kuoa ni kutafuta inayoendana Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu Lakini kwa tafsiri ya kidunia. Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja. Click to expand... Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.?
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #10 Mtoto halali na hela said: 1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni 2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao 3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote Click to expand... Hivi mwamamke anaweza kuoa kumbe??
Mtoto halali na hela said: 1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni 2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao 3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote Click to expand... Hivi mwamamke anaweza kuoa kumbe??
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,576 Reaction score 10,923 Aug 21, 2021 #11 Deejay nasmile said: Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.? Click to expand... Hiyo haipo mzee baba๐๐๐๐
Deejay nasmile said: Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.? Click to expand... Hiyo haipo mzee baba๐๐๐๐
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,007 Aug 21, 2021 #12 Deejay nasmile said: Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA Click to expand... 1. Mwanaume 2. Mwanamke 3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana)
Deejay nasmile said: Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA Click to expand... 1. Mwanaume 2. Mwanamke 3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana)
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 21, 2021 #13 Deejay nasmile said: Hivi mwamamke anaweza kuoa kumbe?? Click to expand... Baadhi ya makabila
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,007 Aug 21, 2021 #14 Mtoto halali na hela said: Baadhi ya makabila Click to expand... Kenya wapo
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Aug 21, 2021 #15 Deejay nasmile said: Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA Click to expand... Deejay nasmile said: Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA Click to expand... Hayo ni makosa, lugha sahihi ni kufunga ndoa yaani tutafunga ndoa au watafunga ndoa, wamefunga ndoa nk.
Deejay nasmile said: Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA Click to expand... Deejay nasmile said: Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA Click to expand... Hayo ni makosa, lugha sahihi ni kufunga ndoa yaani tutafunga ndoa au watafunga ndoa, wamefunga ndoa nk.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #16 Paroco said: Hiyo haipo mzee baba๐๐๐๐ Click to expand... Kama kuolewana haipo basi Mi naona kuoana imekaa kwa ajili ya mashoga hivi..wale ndo wanaoana
Paroco said: Hiyo haipo mzee baba๐๐๐๐ Click to expand... Kama kuolewana haipo basi Mi naona kuoana imekaa kwa ajili ya mashoga hivi..wale ndo wanaoana
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #17 Mshana Jr said: 1. Mwanaume 2. Mwanamke 3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana) Click to expand... Sijakuelewa mkuu 1.mwanaume anaoa nani???? 2.mwanamke anaolewa na nani?? 3.hapo wanakuwa wameoana au wameolewana ???
Mshana Jr said: 1. Mwanaume 2. Mwanamke 3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana) Click to expand... Sijakuelewa mkuu 1.mwanaume anaoa nani???? 2.mwanamke anaolewa na nani?? 3.hapo wanakuwa wameoana au wameolewana ???
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #18 Mtoto halali na hela said: Baadhi ya makabila Click to expand... Kama wapi mkuu
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Aug 21, 2021 Thread starter #19 Mokaze said: Hayo ni makosa, lugha sahihi ni kufunga ndoa yaani tutafunga ndoa au watafunga ndoa, wamefunga ndoa nk. Click to expand... Kwahiyo kuoa ,kuoana au kuolewa haipo katika kiswahili?
Mokaze said: Hayo ni makosa, lugha sahihi ni kufunga ndoa yaani tutafunga ndoa au watafunga ndoa, wamefunga ndoa nk. Click to expand... Kwahiyo kuoa ,kuoana au kuolewa haipo katika kiswahili?
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Aug 21, 2021 #20 Kwa mwanaume ukioa utafurahia ndoa na itadumu ila ukioana yaani mkioana kwa maana kwamba mwanamke naye amekuoa my bro ndoa yako ikifika miezi sita kaague.
Kwa mwanaume ukioa utafurahia ndoa na itadumu ila ukioana yaani mkioana kwa maana kwamba mwanamke naye amekuoa my bro ndoa yako ikifika miezi sita kaague.