Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?

Tuko hili ndilo jibu, kwani kuna Makabila na jamii mbalimbali zina utaratibu wao niseme wa kizamani wa kutoa majina, kwa mfano nyie kina Masamaki, Mang'ombe, Mapunda, Matembo, Madagaa nk ni majina ya watu na ukoo wao na ni halali kabisakwa mfano kama wewe unaitwa hamisi makande mohamedi na mwanao unapenda kumrudishia jina lako la hamisi then wewe utakuwa hamisi sinior na yeye atakuwa hamisi junior.sasa kufupisha ndio watu wanaita junior.
Nimemsikia mtu mwanawe jina Junior ndio jina kabisa. Hana jengine.
Ni katika kuiga tamaduni za watu bila ya kuzielewa tu
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?
Nilishawahi kutolea ufafanuzi suala hili kutokana na wengi wetu kuwa na majina ya kikasumba tu bila kujua maana na matumizi ya majina hayo kwa usahihi, mfano ni Nape Mnauye ambaye anajiita Jr. Ni makosa kwani Jr huongezwa kwenye jina la kwanza la mtoto wa kiume linalofanana na jina la kwanza la baba mzazi. Hivyo ili kuwatofautisha mwishoni mwa majina huweka Jr. kwa mtoto na Sr kama sijakosea spelling kwa baba.
Maana ya Jr katika dictionary ni kama ifuatavyo:Junior, Jr, Jnr(noun)
a son who has the same first name as his father
Hivyo basi pale jina la kwanza la baba mzazi linapotajwa ili kutofautisha na mwanaye ambaye ana jina hilo hilo la kwanza la babake mzazi, basi baada ya jina huongezwa Sr lenye maana ya Senior kwa baba mzazi, kwa maana ya mkuu, mkubwa nk wakati mwanae ni Jr kwa maana ya kijana.
Nataraji kwa ufafanuzi huu wengi watajifunza na kujizoesha maana, matumizi sahihi ya maneno haya.
Kwa watoto wa kike sijawahi kusikia po pote wala kuandikwa popote kuhusu hilo.

Kweli kabisa mkuu, wapo wengi tu unakuta mtoto anaitwa tu Junior!!! Hivi siku akienda jeshini akawa na cheo cha Senior supritendant... Watamuita senior supretendant junior?!...watu wa bongo ni wa ajabu sana tunaiga mpaka tunapitiliza....unakuta mtoto anaitwa simply Junior, wala haina maana sawa na uliyoeleza hapa.....kwetu sisi kwa ujinga wetu tunaamini Junior ni udogo....mpaka Maprofesa wa Vyuo Vikuu wanawaita watoto wao hivyo.....Tumeiga milegezo na vimini sasa tumeamia ujinga wa majina......
hadi maprofesa wa vyuo wana watoto wanaitwa tu Junior, simply JuniorArusha ndio sana kwa wana apolo.
Na linatumika kama jina kamili.
Ni kutokana na kutoelewa na elimu ndogo .
Hao 'majuniaz' wakikua na kuhave kids hao kids watakuwa double juniaz au?
I think fathers are just trying to live their lives over thru a kid...give a kid his own name...my mawazo tu
hadi maprofesa wa vyuo wana watoto wanaitwa tu Junior, simply Junior