binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 8,905
- 22,294
Huyo jamaa ni very smart person
Ulikuwa wapi? Kuna kitambo kirefu sikukuona humu... I missed you.
Kuhusu hekima mimi sijui.
Huyo jamaa ni very smart person
Hekima haiji hivyo.. unaweza zungumza kidogo afu unazungumza upuuzi
Umemsoma vzr huyu Suleiman ww??Siyo tu kusoma maandiko matakatifu, Pia na kumwomba Mungu awaye yote akupe hiyo neema. Mfalme Suleiman alimwomba Mungu hekima na akatunukiwa; wakati mwingine hekima hukuzwa na experience ya mtu kwenye maisha aliyopitia.
Soma kwa makini kitabu cha methali/proverbs.Habari wana JF,
Mimi ni mgeni hapa jamvini, nomba niende moja kwa moja kwenye mada kama hapo juu inavyosema.
Ninaomba kujua hekima maana yake nini na ninawezaje kuipata.
Karibuni wakuu.
Habari wana JF,
Mimi ni mgeni hapa jamvini, nomba niende moja kwa moja kwenye mada kama hapo juu inavyosema.
Ninaomba kujua hekima maana yake nini na ninawezaje kuipata.
Karibuni wakuu.
Mbona wazee huwa na hekima?Hekima huzaliwa na mtu huwezi pata ukubwani
Ohh madame hata mimi pia nime kumiss.Ulikuwa wapi? Kuna kitambo kirefu sikukuona humu... I missed you.
Kuhusu hekima mimi sijui.
Mbona wazee huwa na hekima?
Ohh madame hata mimi pia nime kumiss.
.nilikuwa na majukumu makubwa thats why nikatoweka kwa muda hapa jf
Karibu tena ndugu, Sisi “wapo”!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka kisenge mangi!!!Hekima haiji hivyo.. unaweza zungumza kidogo afu unazungumza upuuzi
Dah! Nilikuwa naona uvivu wa kuandika na namna ya kuipangilia point yangu, lakini bahati nzuri umenisahidia maana nilikuwa na mawazo kama yakwako ila namna ya kuyaweka sasa. Ongera mkuu umeongea point ya msingi kama nilivyokuwa nawaza. Ila cha kuongezea kama ni mkristo ili kujua hekima inapatikanaje msome sana sulemani na upende sana kujifunza vitu tofautitofauti.Hekima upatikana kwa mlolongo ufuatao; kwanza katika maisha ya kila siku watu hujifunza kwa makosa (mistakes) yao wao wenyewe au kwa makosa ya wengine, hili uzaa uzoefu (experience) na mwisho experience uzaa hekima (wisdom). Kiufupi huo ndio mlolongo wake na wengi wanaokuja kuwa na hekima hujifunza mengi toka makosa ya wengine kuliko makosa yao wenyewe. Hayo yote upatikana baada ya muda mrefu kidogo wa kuishi hapa duniani na si kitu cha ghafla au cha kupata darasani.