Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

Joined
Oct 13, 2016
Messages
67
Points
125
Joined Oct 13, 2016
67 125
Wakuu naona wengi mnajibu kwa mazoea Sana!!


Kwanza fatilieni WISEMEN walikuwa watu hapo zamani.

Wisemen ndo walikuja kuitwa PHILOSOPHERS baadae kidogo.

Naomba mfatilie CHIMBUKO LA WISEMEN/PHILOSOPHERS walikuwa watu wa namna gan na walikuwa na sifa gan na walizipataje hizo sifa za kuitwa WISEMEN/PHILOSOPHERS.

Tumia PYTHAGORAS Kama CASESTUDY
Yes inaweza ikawa kweli ila don't complicate life. Na kuwatisha watu ndugu. Hekima ni experience ya magumu mtu aliyeyapitia na kujifunza bila kukata tamaa na baadae kuyaaply kwenye maisha ya kawaida na kwa watu waliomzunguka ili kuwasaidia.
 

FOCAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Messages
283
Points
500

FOCAL

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2019
283 500
Dah! Nilikuwa naona uvivu wa kuandika na namna ya kuipangilia point yangu, lakini bahati nzuri umenisahidia maana nilikuwa na mawazo kama yakwako ila namna ya kuyaweka sasa. Ongera mkuu umeongea point ya msingi kama nilivyokuwa nawaza. Ila cha kuongezea kama ni mkristo ili kujua hekima inapatikanaje msome sana sulemani na upende sana kujifunza vitu tofautitofauti.
Huko sahihi kabisa mkuu, kusoma ni muhimu sana kama ulivyosema kwani ni njia mojawapo muhimu sana ya kujifunza toka kwa wengine.
 

Forum statistics

Threads 1,367,636
Members 521,789
Posts 33,405,697
Top