Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,377
5,776
Hope mko gud wana-JF wote.

Kama heading inavyosema huu mwaka 2023 ni kama umekwisha maana imebakia mwezi mmoja kuingia 2024. Je, wewe ukijifanyia tathimini umefanya nini cha maana ambacho ukikitizama unajipongeza na kufurahi?

God1stFamily2nd.
 
Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.

Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa. Sijui nilifeli wapi haki!

Ila nimejifunza, sitorudia tena. Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
 
Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.
Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa.

Sijui nilifeli wapi haki!
Ila nimejifunza, sitorudia tena.
Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
Lakini ex harudiwi mkuu 😅😅kidding!!
 
Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.
Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa.

Sijui nilifeli wapi haki!
Ila nimejifunza, sitorudia tena.
Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
Safi sana
 
Back
Top Bottom