Nini Maana ya Chama Cha Mapinduzi?

Nini Maana ya Chama Cha Mapinduzi?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,250
Reaction score
3,451
Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini?

Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!?

Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni Chama Cha Wanyonge,je Mapinduzi ni kwa ajili ya Wanyonge?

Je Chama Cha Mapinduzi kinaruhusu Mwenyekiti wake kusemwa kama Polepole anavyofanya.?
 
Chama cha Mambuzi, Chama cha majambazi, chama cha majangili, nk.
 
Mapinduzi katika every aspect of life kwa kila mtanzania!
 
Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini?

Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!?

Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni Chama Cha Wanyonge,je Mapinduzi ni kwa ajili ya Wanyonge?

Je Chama Cha Mapinduzi kinaruhusu Mwenyekiti wake kusemwa kama Polepole anavyofanya.?
1764498782822.jpg
 
Back
Top Bottom